Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

vikwazo

  • Kongo DR yakosoa vikwazo ilivyowekewa na Marekani

    Kongo DR yakosoa vikwazo ilivyowekewa na Marekani

    Oct 06, 2016 10:59

    Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imekosoa vikali hatua ya Marekani kuwawekea vikwazo maofisa wa ngazi za juu wa serikali ya Kinshasa, kwa shabaha ya kuathiri mwelekeo wa kisiasa wa nchi hiyo.

  • Serikali: Vikwazo vimesababisha mgogoro wa kiuchumi Zimbabwe

    Serikali: Vikwazo vimesababisha mgogoro wa kiuchumi Zimbabwe

    Jul 17, 2016 11:24

    Serikali ya Zimbabwe imelaumu vikwazo vya kimataifa na kusema kuwa ndiyo sababu kuu ya mgogoro wa kiuchumi unaoshuhudiwa nchini humo hivi sasa.

  • IGAD yataka Sudan Kusini iwekewe vikwazo vya silaha

    IGAD yataka Sudan Kusini iwekewe vikwazo vya silaha

    Jul 17, 2016 11:24

    Jumuiya ya Ushirikiano wa Kieneo ya Mashariki mwa Afrika IGAD imetoa mwito wa kuwekewa vikwazo vya silaha Sudan Kusini kwa shabaha ya kukomesha mapigano mapya yaliyozuka nchini humo hivi karibuni na kusababisha mauaji ya mamia ya watu.

  • Angola, Misri kuishawishi UN kuziondolea vikwazo CAR na S/Kusini

    Angola, Misri kuishawishi UN kuziondolea vikwazo CAR na S/Kusini

    Jun 21, 2016 23:34

    Angola na Misri zimesema zitazishawishi nchi wanachama wasio wa kudumu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa zikubali wazo la kuondolewa vikwazo Jamhuri ya Afrika ya Kati na Sudan Kusini.

  • Ulaya yatofautiana na Marekani kuhusu kuwekewa vikwazo DRC

    Ulaya yatofautiana na Marekani kuhusu kuwekewa vikwazo DRC

    Jun 07, 2016 03:30

    Nchi za bara Ulaya zimetilia shaka hatua ya Marekani kushinikiza kuwekewa vikwazo Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa lengo la kumtaka Rais Joseph Kabila wa nchi hiyo asigombee urais kwa muhula wa tatu.

  • UN: Huenda Sudan Kusini ikawekewa vikwazo vipya

    UN: Huenda Sudan Kusini ikawekewa vikwazo vipya

    Jun 01, 2016 02:18

    Umoja wa Mataifa umesema Sudan Kusini ipo katika ncha ya kuwekewa vikwazo vipya na jamii ya kimataifa kutokana na mwendo wa kinyonga wa kutekeleza makubaliano ya amani yaliyofikiwa mwaka jana.

  • Uholanzi yakataa kupiga marufuku kampeni dhidi ya Israel

    Uholanzi yakataa kupiga marufuku kampeni dhidi ya Israel

    May 27, 2016 03:21

    Uholanzi imekataa wito wa utawala wa kibaguzi wa Israel wa kupiga marufuku kampeni inayozidi kupanuka ya kimataifa ya kutaka walimwengu wasusie bidhaa za Israel.

  • Baraza la Usalama la UN laiondolea Liberia vikwazo vya miaka 13 vya silaha

    Baraza la Usalama la UN laiondolea Liberia vikwazo vya miaka 13 vya silaha

    May 26, 2016 12:00

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeiondolea Liberia vikwazo vya silaha baada ya kuridhishwa na hatua zilizopigwa katika kuijenga upya nchi hiyo baada ya vita vya ndani vya mwaka 1999 hadi 2003.

  • Ulaya, Marekani zitekeleze mapatano ya nyuklia ya Iran kivitendo

    Ulaya, Marekani zitekeleze mapatano ya nyuklia ya Iran kivitendo

    May 21, 2016 11:28

    Waziri wa Mambo ya Nje ya Iran ametoa wito kwa nchi za Ulaya na Marekani kuchukua hatua za kivitendo kuondoa vikwazo vya kibenki na kiuchumi dhidi ya Iran kwa mujibu wa mapatano ya nyuklia mwaka jana kati ya Tehran na madola sita makubwa duniani.

  • EU yawawekea vikwazo viongozi wanaopinga Serikali ya Umoja wa Kitaifa Libya

    EU yawawekea vikwazo viongozi wanaopinga Serikali ya Umoja wa Kitaifa Libya

    Apr 02, 2016 01:46

    Umoja wa Ulaya EU umeanza kutekeleza mpango wa kuwawekea vikwazo viongozi wa kisiasa wanaopinga Serikali ya Umoja wa Kitaifa nchini Libya.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS