Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Waislamu

  • Bahrain yaendeleza ubabe, yamkamata kiongozi mwingine wa Kiislamu

    Bahrain yaendeleza ubabe, yamkamata kiongozi mwingine wa Kiislamu

    Jul 30, 2016 03:40

    Licha ya makelele ya jamii ya kimataifa na watetezi wa haki za binadamu, utawala wa Aal-Khalifa nchini Bahrain umemtia nguvuni kiongozi mwingine wa Kiislamu.

  • Jumatano, Julai 27, 2016

    Jumatano, Julai 27, 2016

    Jul 26, 2016 21:58

    Leo ni Jumatano tarehe 22 Shawwal 1437 Hijria sawa na Julai 27, 2016.

  • Waislamu Nigeria wapongeza kuondolewa marufuku ya hijabu

    Waislamu Nigeria wapongeza kuondolewa marufuku ya hijabu

    Jul 24, 2016 03:30

    Waislamu nchini Nigeria wamepongeza uamuzi wa Mahakama ya Rufaa mjini Lagos kufutulia mbali marufuku ya kuvaa hijabu katika shule za umma mjini hapo.

  • Zarif: Masunni na Mashia lazima waungane kuzima ugaidi

    Zarif: Masunni na Mashia lazima waungane kuzima ugaidi

    Jul 24, 2016 00:00

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani hujuma ya kigaidi ya hapo jana iliyosababisha vifo vya makumi ya watu nchini Afghanistan na kusisitiza kuwa, wakati umefika kwa Waislamu wa madhehebu ya Shia na Sunni waungane kwa shabaha ya kulikabili kwa pamoja jinamizi la ugaidi.

  • Bahrain yazuia Swala ya Ijumaa na kukamata watu 50 Diraz

    Bahrain yazuia Swala ya Ijumaa na kukamata watu 50 Diraz

    Jul 22, 2016 23:37

    Katika muendelezo wa wimbi la ukandamizaji na dhulma za utawala wa kifalme wa Aal-Khalifa, maafisa usalama nchini Bahrain walizuia Swala ya Ijumaa hapo jana sambamba na kuwatia mbaroni watu 50 katika kijiji cha Diraz, kaskazini magharibi mwa nchi.

  • Waziri Mkuu wa Ufaransa aonya kuhusu hujuma dhidi ya Waislamu nchini humo

    Waziri Mkuu wa Ufaransa aonya kuhusu hujuma dhidi ya Waislamu nchini humo

    Jul 21, 2016 23:49

    Waziri Mkuu wa Ufaransa ameonya kuhusu hatari ya kuhujumiwa Waislamu wanaoishi nchini humo.

  • Msomi wa Kisunni Iran atoa wito wa kuugwa mkono Waislamu Kashmir

    Msomi wa Kisunni Iran atoa wito wa kuugwa mkono Waislamu Kashmir

    Jul 21, 2016 23:47

    Msomi wa Kisunni ambaye pia ni mwanachama wa Baraza la Wataalamu la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa wito kwa Waislamu kote duniani kulaani mauaji ya hivi karibuni ya ndugu zao wa eneo la Kashmir linalodhibitiwa na India.

  • Waziri Mkuu Ufaransa: Kuna hatari Waislamu wakashambuliwa

    Waziri Mkuu Ufaransa: Kuna hatari Waislamu wakashambuliwa

    Jul 21, 2016 02:14

    Waziri Mkuu wa Ufaransa ametahadharisha kuhusu hatari ya kushambuliwa Waislamu nchini humo.

  • Waislamu Marekani waanzisha kampeni dhidi ya Trump

    Waislamu Marekani waanzisha kampeni dhidi ya Trump

    Jul 21, 2016 01:51

    Waislamu wa Marekani wameanzisha "Harakati ya Kura Milioni Moja" kwa shabaha ya kukabiliana na misimamo inayopiga vita Uislamu ya mgombea urais wa nchi hiyo kwa tiketi ya chama cha Republican, Donald Trump.

  • Rais Sally: Waislamu ni wahanga wakubwa wa ugaidi

    Rais Sally: Waislamu ni wahanga wakubwa wa ugaidi

    Jul 17, 2016 03:36

    Rais wa Senegal amesema kuwa Waislamu ni wahanga wakubwa wa ugaidi duniani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS