-
UN: Wakimbizi wa Burundi na DRC walioko Rwanda wanahitaji msaada
May 22, 2016 11:52Umoja wa Mataifa umesema wakimbizi raia wa Burundi na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo walioko nchini Rwanda wanahitajia misaada ya dharura na kwamba idadi ya wakimbizi wanaoingia nchini humo kutoka nchi mbili hizo na haswa Burundi ni ya kutia wasi wasi.
-
Sisitizo la Umoja wa Afrika la kutuma askari wa kimataifa nchini Burundi
May 21, 2016 08:42Umoja wa Afrika AU umetoa ripoti maalumu kuhusiana na uvunjaji wa haki za binadamu nchini Burundi na kusisitizia nia ya umoja huo ya kutuma askari wa kimataifa wa kulinda amani nchini humo.
-
UN yaiomba Kenya isifunge kambi za wakimbizi Wasomali
May 20, 2016 11:55Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya Ijumaa amekutana na wajumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa mjini Nairobi kujadili uamuzi wa nchi yake kuwatimua wakimbizi kutoka Somalia walioko katika kambi kubwa zaidi ya wakimbizi duniani ya Dadaab.
-
Burundi yaituhumu tena Rwanda kuwa inaharibu usalama wake
May 20, 2016 02:36Kwa mara nyingine tena serikali ya Burundi imeituhumu Rwanda kuwa inafanya njama za kuharibu utulivu nchini humo.
-
Umoja wa Mataifa: Mgogoro wa wakimbizi ni wa dunia nzima
May 16, 2016 23:50Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya wakimbizi amesema kuwa, mgogoro wa wakimbizi ni tatizo la dunia nzima.
-
Nigeria kutumia vinasaba vya DNA kugundua magaidi
May 16, 2016 23:46Waziri wa Mambo ya Nje wa Nigeria amesema kuwa, serikali ya nchi hiyo ina mpango wa kutumia vinasaba yaani DNA kuwakamata magaidi.
-
Somalia yalalamikia mpango wa Kenya wa kufunga kambi ya Dadaab
May 12, 2016 23:24Serikali ya Somalia imekosoa azma ya Kenya ya kufunga kambi ya wakimbizi ya Dadaab yenye mamia ya maelfu ya wakimbizi na haswa raia wa Kisomali.
-
Kushambuliwa kambi ya wakimbizi Darfur Sudan
May 11, 2016 03:16Watu wenye silaha wameishambulia kambi ya wakimbizi katika jimbo la Darfur, magharibi mwa Sudan na kuua watu wasiopungua watatu na kuwajeruhi wengine 11.
-
Ripoti: Watu milioni 40 ni wakimbizi katika nchi zao
May 11, 2016 02:39Watu zaidi ya milioni 40 katika nchi mbali mbali duniani wamelazimika kuwa wakimbizi wa ndani ya nchi kutokana na vita na migogoro.
-
UN yaikosoa Kenya kwa kupanga kufunga kambi za wakimbizi
May 10, 2016 02:28Umoja wa Mataifa umeitaka serikali ya Kenya kufikiria upya mpango wake wa kufunga kambi za wakimbizi za Dadaab na Kakuma.