-
Nchi za kaskazini mwa Afrika zagoma kuwapokea wahajiri wa Kiafrika
Jun 30, 2018 03:01Nchi tano za kaskazini mwa Afrika zimekataa mapendekezo ya viongozi wa Ulaya ya kuanzisha kambi maalumu za wahajiri katika ardhi za nchi hizo kwa ajili ya kuwapokea wahajiri wa Kiafrika.
-
UN: Migogoro yaifanya robo ya wananchi wa CAR kuwa wakimbizi
May 30, 2018 03:22Ofisi ya Uratibu wa Masuala ya Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa (OCHA) imesema mapigano na migogoro imeifanya asilimia 25 ya wananchi wa Jamhuri ya Afrika ya Kati kuwa wakimbizi ndani na nje ya nchi.
-
Uganda yaitaka UN iiongezee ufadhili kwa ajili ya wakimbizi
May 06, 2018 03:20Serikali ya Uganda imeutaka Umoja wa Mataifa uongeze msaada na ufadhili wake kwa ajili ya makumi ya maelfu ya wakimbizi walioko nchini humo.
-
Polisi ya Rwanda yawakamata makumi ya wakimbizi wa Kongo DR
May 02, 2018 10:25Polisi ya Rwanda imewatia nguvuni wakimbizi 23 wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo walioko nchini humo, kwa tuhuma za kuwashambulia kwa mawe maafisa waandamizi wa polisi na serikali, waliotembelea kambi yao.
-
Watu saba waghariki Ziwa Albert wakikimbia mapigano DRC
Mar 10, 2018 04:14Kwa akali watu saba wamekufa maji wakikimbia mapigano mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Makumi ya wakimbizi wa DRC huko Uganda waaga dunia kwa kuharisha
Feb 23, 2018 04:11Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, makumi ya wakimbizi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamepoteza maisha baada ya mlipuko wa ugonjwa wa kuharisha kuikumba kambi moja ya wakimbizi magharibi mwa Uganda.
-
Polisi ya Rwanda yaua wakimbizi wa Congo
Feb 23, 2018 01:14Polisi ya Rwanda imeua idadi kadhaa ya wakimbiizi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo waliokuwa wakifanya maandamano mbele ya ofisi ya Umoja wa Mataifa.
-
Israel yawasweka jela wakimbizi wa Kiafrika
Feb 22, 2018 00:59Israel imewafunga jela Waafrika 7 raia wa Eritrea walioomba hifadhi katika utawala huo baada ya wakimbizi hao kukataa kupelekwa Rwanda kwa mabavu.
-
Uingereza kuwatimua maelfu ya wahajiri wa Zimbabwe
Feb 16, 2018 23:10Serikali ya Uingereza imetangaza azma yake ya kuwafukuza nchini humo maelfu ya wahajiri haramu raia wa Zimbabwe.
-
UN: Myanmar haijaandaa mazingira salama ya kurejea nchini Warohingya
Feb 14, 2018 03:55Kamishna Mkuu wa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) amesema Myanmar imeshindwa kuandaa mazingira salama ya kuruhusu kurejea kwa khiari nchini humo Waislamu wakimbizi 688,000 Warohingya waliokimbilia nchi jirani ya Bangladesh.