-
Watu 15 wauawa katika wimbi jipya la machafuko Kasai, DRC
Feb 28, 2018 07:55Watu wasiopungua 15 wameuawa katika wimbi jipya la mapigano katika eneo la Kasai huko Jamhuri ya Kidemorasia ya Kongo.
-
Makumi wauawa kwa kufyatuliwa risasi na wezi wa mifugo Nigeria
Feb 16, 2018 13:58Makumi ya watu wameripotiwa kuuawa kwa kufyatuliwa risasi na genge la wezi wa mifugo katika jimbo la Zamfara, kaskazini magharibi mwa Nigeria.
-
Watu kadhaa wauawa katika maandamano nchini Guinea
Feb 13, 2018 07:31Kwa akali watu wawili wamethibitishwa kupoteza maisha katika ghasia zilizotokana na maandamano yaliyofanyika jana Jumatatu nchini Guinea Conakry.
-
Watu 9 wauwa katika mapigano Kasai, Kongo DR
Jan 30, 2018 16:47Kwa akali watu tisa wameripotiwa kuuawa katika mapigano ya siku mbili katika eneo la Kasai, huko Jamhuri ya Kidemorasia ya Kongo.
-
Watu 43 wauawa katika ufyatulianaji risasi Marekani
Jan 15, 2018 07:37Watu wasipoungua 43 wameuawa katika kipindi cha masaa 24 nchini Marekani katika matukio ya ufyatulianaji risasi nchini humo.
-
200 wauawa, kujeruhiwa katika ajali ya treni Afrika Kusini
Jan 04, 2018 14:16Kwa akali watu 14 wamethibitishwa kupoteza maisha huku wengine zaidi ya 180 wakijeruhiwa katika ajali mbaya ya garimoshi iliyotokea mapema leo kati ya eneo la Kroonstad na Hennenman, katika mkoa wa Free State nchini Afrika Kusini
-
Kuendelea machafuko ya kikabila nchini Nigeria
Jan 04, 2018 02:33Katika mashambulizi mapya ya kikabila nchini Nigeria, watu wa kabila la Fulani wameshambulia eneo la Tif na kuua zaidi ya watu 50 wa eneo hilo.
-
Watu 50 wauawa katika mapigano ya kikabila kaskazini mwa Nigeria
Jan 03, 2018 04:24Watu wasiopungua 50 wameuawa kaskazini mwa Nigeria na makumi ya wengine klujeruhiwa kufuatia mapigano ya kikabila yaliyozuka baina ya makabila mawili.
-
Kumi wauawa katika hujuma ya kigaidi dhidi ya kanisa, Cairo
Dec 29, 2017 16:44Wizara ya Afya ya Misri imetangaza kuwa, watu 10 wakiwemo askari kadhaa wa usalama wameuawa katika hujuma ya watu waliokuwa na silaha iliyolenga kanisa moja katika eneo la Halwan kusini mwa jiji la Cairo.
-
Watu wasiopungua 6 wauawa katika mlipuko kaskazini mashariki mwa Nigeria
Dec 29, 2017 03:56Watu wasiopungua sita wameuawa na wengine 13 kujeruhiwa katika shambulio la kujitoa muhanga lililotekelezwa sokoni katika kijiji kimoja karibu na mji wa Maiduguri jimboni Borno kaskazini mashariki mwa Nigeria.