Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

wapinzani

  • Mgogoro wa kisiasa Kongo DR wapatiwa ufumbuzi?

    Mgogoro wa kisiasa Kongo DR wapatiwa ufumbuzi?

    Dec 23, 2016 16:24

    Katika hatua ya ghafla na ambayo haikutazamiwa na wengi, pande hasimu za kisiasa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zimefikia muafaka, ambao utapelekea Rais Joseph Kabila asalie uongozini hadi mwishoni mwa mwaka ujao 2017.

  • Kambi ya upinzani Congo yawataka wananchi kupinga utawala wa Kabila

    Kambi ya upinzani Congo yawataka wananchi kupinga utawala wa Kabila

    Dec 20, 2016 14:58

    Kambi kuu ya upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imewataka wananchi kutomtambua tena Joseph Kabila kama rais wa nchi hiyo na imewahimiza kuonesha upinzani wao dhidi ya Kabila kwa njia ya amani.

  • Upinzani Gambia: Jammeh atageuka na kuwa kiongozi wa waasi nchini

    Upinzani Gambia: Jammeh atageuka na kuwa kiongozi wa waasi nchini

    Dec 19, 2016 07:38

    Upinzani nchini Gambia umemtahadharisha Yahya Jammeh, rais wa nchi hiyo aliyekataa matokeo ya uchaguzi mkuu wa hivi karibuni kuwa yumkini akageuka na kuwa kiongozi wa waasi akiendelea kung'ang'ania madaraka.

  • Wapizani Kongo DR wasema hawataandamana dhidi ya serikali

    Wapizani Kongo DR wasema hawataandamana dhidi ya serikali

    Dec 18, 2016 14:05

    Viongozi wa upinzani huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamesema hawatafanya maandamano kesho Jumatatu dhidi ya serikali, licha ya muhula wa Rais Joseph Kabila kumalizika.

  • Wapinzani S/Kusini wakaribisha mazungumzo ya kitaifa

    Wapinzani S/Kusini wakaribisha mazungumzo ya kitaifa

    Dec 16, 2016 15:35

    Wapinzani wa serikali ya Sudan Kusini wameunga mkono kufanyika mazungumzo ya kitaifa nchini humo.

  • Wapinzani Burundi wamkataa mpatanishi wa mgogoro wa nchi hiyo

    Wapinzani Burundi wamkataa mpatanishi wa mgogoro wa nchi hiyo

    Dec 13, 2016 16:41

    Makundi ya upinzani nchini Burundi yamemtaka Benjamin Mkapa, mpatanishi wa kimataifa katika mgogoro wa nchi hiyo ajiuzulu ikiwa ni siku kadhaa zimepita tangu awasili nchini humo na hivyo kuzusha wasiwasi wa kufanikiwa juhudi zinazosuasua za kutatua mgogoro wa machafuko ya kisiasa yanayoendelea kwa miezi kadhaa sasa katika nchi hiyo.

  • Kiongozi wa upinzani ashinda uchaguzi wa rais Ghana, Mahama akubali matokeo

    Kiongozi wa upinzani ashinda uchaguzi wa rais Ghana, Mahama akubali matokeo

    Dec 10, 2016 07:34

    Kiongozi mkongwe wa upinzani nchini Ghana, Nana Akufo-Addo, ameibuka mshindi katika uchaguzi wa rais uliofanyika Jumatano iliyopita na kumshinda Rais wa sasa John Dramani Mahama.

  • Rais wa Ghana: Upinzani unawashawishi wafuasi wake wasikubali matokeo ya uchaguzi

    Rais wa Ghana: Upinzani unawashawishi wafuasi wake wasikubali matokeo ya uchaguzi

    Dec 07, 2016 03:58

    Rais John Dramani Mahama wa Ghana amemtuhumu kiongozi mkuu wa upinzani nchini humo kuwa anawashawishi wafuasi wa chama chake wasikubali matokeo ya uchaguzi wa Rais na Bunge unaofanyika leo nchini humo.

  • Mgombea wa upinzani ashinda kiti cha Urais Gambia

    Mgombea wa upinzani ashinda kiti cha Urais Gambia

    Dec 04, 2016 03:11

    Adama Barrow, mgombea wa muungano wa upinzani nchini Gambia amembwaga Rais wa nchi hiyo Yahya Jammeh katika uchaguzi wa Rais wa nchi hiyo ambao matokeo yake hayakutarajiwa.

  • Mkapa azitaka pande husika Burundi kuheshimu mchakato wa amani

    Mkapa azitaka pande husika Burundi kuheshimu mchakato wa amani

    Dec 02, 2016 07:18

    Rais Mstaafu wa Tanzania ambaye pia ni mpatanishi wa mgogoro wa Burundi amezitaka pande husika katika nchi hiyo kushikamana na kuheshimu mchakato wa amani na hatua zilizopigwa za kuutafutia ufumbuzi mgogoro wa kisiasa wa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS