-
Mahakama yatupilia mbali kesi ya upinzani kuhusu kura ya maoni Burundi
May 31, 2018 10:28Mahakama ya Katiba ya Burundi imetupilia mbali kesi iliyowasilisha na muungano wa upinzani nchini humo kupinga matokeo ya kura ya maoni ya kuifanyia marekebisho katiba ya nchi, yaliyoipa ushindi kambi ya serikali.
-
Kiongozi mashuhuri wa upinzani nchini Misri atiwa mbaroni
May 27, 2018 23:46Vyombo vya usalama vya Misri vimemtia mbaroni kiongozi mashuhuri wa upinzani nchini humo, Hazim Abdelazim.
-
Upinzani Burundi waenda mahakamani kupinga matokeo ya kura ya maoni
May 25, 2018 03:04Muungano wa upinzani nchini Burundi unaoongozwa na Agathon Rwasa jana Alkhamisi ulienda mahakamani kupinga matokeo ya kura ya maoni ya kuifanyia marekebisho katiba ya nchi, yaliyoipa ushindi kambi ya serikali.
-
Kiongozi mkongwe wa upinzani (92) ashinda uchaguzi Malaysia
May 10, 2018 10:00Kiongozi mkongwe wa upinzani ambaye amewahi kuwa Waziri Mkuu wa Malaysia ameshinda uchaguzi mkuu uliofanyika nchini humo, kwa mujibu wa matokeo rasmi ya Tume ya Uchaguzi, na kutamatisha utawala wa karibu miongo sita wa mrengo tawala wa Barisan Nasional.
-
Upinzani nchini Madagascar wakataa upatanishi wa UN
May 08, 2018 12:25Upinzani nchini Madagascar umepinga upatanishi wa Umoja wa Mataifa katika mgogoro unaoendelea kutokota katika kisiwa hicho cha kusini mashariki mwa Afrika.
-
Upinzani Uganda waijia juu serikali kwa mauaji ya viongozi wa Kiislamu
May 04, 2018 02:54Viongozi wa upinzani nchini Uganda wameitaka serikali ya Kampala kutoa ripoti kuhusu mauaji na kamatakamata dhidi ya viongozi na wahubiri wa Kiislamu katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
-
Kiongozi wa upinzani Sierra Leone ajitangaza mshindi wa urais
Apr 03, 2018 22:00Jeshi la Sierra Leone limekadhibisha tuhuma za kula njama ya kumuua kiongozi wa upinzani nchini humo, Brigedia Julius Maada Bio ambaye anadai kuwa ameibuka mshindi katika duru ya pili ya uchaguzi wa rais.
-
Kiongozi wa upinzani Senegal ahukumiwa kifungo cha miaka 5 jela
Mar 30, 2018 10:30Mahakama moja nchini Senegal imemhukumu kifungo cha miaka mitano jela Khalifa Sall, kiongozi mashuhuri wa upinzani nchini humo baada ya kupatikana na hatia katika kesi ya ufisadi iliyokuwa ikimkabili.
-
Serikali yavunja chama kikuu cha upinzani Equatorial Guinea
Feb 27, 2018 11:02Mahakama moja ya Equatorial Guinea imevunja chama kikuu cha upinzani nchini humo sambamba na kuwasweka jela makumi ya wanaharakati.
-
Wapinzani wa serikali ya Burundi wakutana kuunganisha nguvu zao
Jan 30, 2018 13:18Wapinzani wa serikali ya Burundi walioko nje ya nchi wameanzisha jitihada za kuunda kambi na muungano dhidi ya serikali ya Rais Pierre Nkurunziza wa nchi hiyo.