-
Rwanda yazindua kampeni ya chanjo ya Marburg
Oct 06, 2024 22:50Rwanda imeanza kutoa dozi za chanjo ya virusi vya Marburg ili kujaribu kudhibiti mripuko wa ugonjwa huo unaofanana na Ebola katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
-
Watunisia wapiga kura kumchagua Rais
Oct 06, 2024 08:14Wananchi wa Tunisia leo Jumapili wameshiriki katika uchaguzi wa rais pasina upinzani mkali dhidi ya rais aliyeko madarakani, Kais Saied, ambaye anatazamiwa kuibuka mshindi.
-
ICC yatoa hati ya kuwakamata washukiwa 6 nchini Libya
Oct 06, 2024 03:57Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) imetoa hati ya kukamatwa wanaume sita wanaodaiwa kuhusishwa na wanamgambo katili wa Libya wanaotuhumiwa kwa mauaji mengi na uhalifu mwingine katika mji muhimu wa magharibi mwa Libya ambapo makaburi ya halaiki yaligunduliwa mnamo 2020.
-
Ethiopian Airlines yasimamisha safari zote za ndege za kuelekea Israel
Oct 05, 2024 23:20Shirika la Ndege la Ethiopia limetangaza kusitisha safari zote za ndege za kuelekea Tel Aviv, mji mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, hadi itakapotangazwa tena kutokana na hali ilivyo sasa katika eneo la Asia Magharibi.
-
Chad yatoa indhari ya janga baya zaidi la mafuriko
Oct 05, 2024 22:58Serikali ya Chad imetangaza indhari ya janga bayya zaidi la kimaumbile la mafuriko baada ya mito kadhaa kufurika nchhini humo.
-
Balozi wa Marekani Uganda atakiwa aombe msamaha au afukuzwe nchini
Oct 05, 2024 02:45Mkuu wa Jeshi la Uganda Jeneral Muhoozi Kainerugaba amemtaka balozi wa Marekani nchini humo William Popp amuombe msamaha Rais Yoweri Museveni au atimuliwe nchini.
-
Hasira zatanda Afrika Kusini baada ya wakulima wazungu kuwaua wazalendo na kuwafanya chakula cha nguruwe
Oct 04, 2024 22:59Gazeti la New York Times limeripoti kwamba, habari ya kutisha inayosema wakulima weupe waliwaua wanawake wawili na kuwalisha nguruwe maiti zao imezua mjadala kuhusu baadhi ya masuala tata zaidi nchini Afrika Kusini, kama vile ubaguzi wa rangi, unyanyasaji kwa msingi wa nafasi ya kijamii na umiliki wa mashamba.
-
Makumi waaga dunia katika ajali ya boti mashariki ya DRC
Oct 04, 2024 03:43Zaidi ya watu 70 wamekufa maji baada ya boti waliokuwa wakisafiria kupinduka kwenye Ziwa Kivu jana Alkhamisi, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, karibu na Rwanda.
-
Niger yasimamisha kipindi cha Wafaransa kinachodhalilisha wanawake Waafrika
Oct 04, 2024 03:42Serikali ya kijeshi ya Niger imepiga marufuku kipindi kinachorushwa na kanali ya televisheni ya Ufaransa ikisisitiza kuwa kipindi hicho ni tishio kwa thamani za nchi hiyo ya Afrika Magharibi.
-
Jeshi la Somalia lakikomboa kijiji cha kimkakati kutoka kwa magaidi wa al-Shabaab
Oct 03, 2024 22:52Wizara ya Ulinzi ya Somalia jana ilitangaza kuwa jeshi la nchi hiyo limeendesha oparesheni maalumu dhidi ya kundi la kigaidi la al Shabaab na kukikomboa kijiji cha kimkakati cha Ali Yabal umbali wa kilomita 18 kutoka Eeldheer katika mkoa wa Galgaduud.