-
Kuondoka kabisa wanajeshi wa Marekani nchini Niger
Sep 17, 2024 04:50Jeshi la Marekani limetangaza kuwaondoa wanajeshi wake wote katika ardhi ya Niger.
-
Somalia yajiunga na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia
Sep 17, 2024 04:01Somalia imejiunga na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) katika Mkutano Mkuu wa wakala huo ulioanza jana Jumatatu mjini Vienna.
-
Wachimba dhahabu Kenya wapoteza maisha baada ya mgodi kuporomoka
Sep 16, 2024 23:34Watu wasiopungua tisa wamepoteza maisha na wengine kadhaa kujeruhiwa wakati mgodi usio rasmi wa dhahabu ulipoporomoka na kuwaangukia wachimba dhahabu hao huko kaskazini mwa Kenya karibu na mpaka wa Ethiopia.
-
Machafuko ya kikabila yaua watu 30 Papua New-Guinea
Sep 16, 2024 23:34Watu wasiopungua 30 wanaaripotiwa kuuawa katika mapigano mapya ya kikabila yaliyoikumba Papua-New Guinea.
-
Wafungwa 300 Nigeria waliotoroka baada ya gereza kubomoka hawajulikani waliko
Sep 16, 2024 23:33Wafungwa wapatao 300 waliotoroka katika gereza moja nchini Nigeria hadi sasa bado hawajulikani walipo.
-
Mataifa ya Afrika Magharibi yaliyojitenga kuzindua pasipoti ya pamoja
Sep 16, 2024 08:52Muungano wa Mataifa ya Sahel (AES), kambi ya kikanda ambayo ilianzishwa Septemba iliyopita na viongozi wa kijeshi wa Mali, Niger na Burkina Faso, imetangaza mpango wa kuanzisha pasipoti ya pamoja ili kuimarisha ushirikiano na usalama baina yao.
-
Watu 40 wauawa katika mashambulizi ya wanamgambo wa RSF Sudan
Sep 16, 2024 08:33Makumi ya raia wameuawa katika shambulio lililofanywa na wanamgambo wa Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) katika kijiji kimoja katikati mwa Sudan.
-
Ruto akosolewa kwa kuvunja amri yake ya kukomeshwa harambee makanisani kwa ajili ya kupambana na ufisadi
Sep 16, 2024 03:17Rais William Ruto wa Kenya amekosolewa kwa kushindwa kutekeleza kivitendo agizo lake la kuwazuia maafisa wa serikali kushiriki michango ya harambee kama mojawapo ya njia za kupambana na ufisadi.
-
Malik Agar: Vita vya ndani Sudan huenda vikamalizika Disemba mwaka huu
Sep 16, 2024 03:16Malik Agar, Makamu wa Rais wa Baraza la Utawala wa Sudan, amesema kuna uwezekano kwamba vita kati ya jeshi la serikali na Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) vitamalizika kabla ya mwisho wa mwaka huu.
-
Mvua kubwa yauwa watu 2 na kujeruhi 40 katika mji wa Sabha, Libya
Sep 15, 2024 23:03Takriban watu wawili wamepoteza maisha na wengine 40 kujeruhiwa kutokana na mvua kubwa iliyonyesha katika mji wa Sabha, kusini mwa Libya jana Jumapili.