-
Polisi wa Kenya washutumiwa kwa kumuua mmoja wa waandamanaji Nairobi
Jun 21, 2024 04:27Asasi za kiraia na mashirika ya kutetea haki za binadamu yameijia juu polisi ya Kenya kwa tuhuma za kumuua kwa kumpiga risasi mmoja wa waandamanaji wanaopinga mpango wa kuongeza ushuru, kodi na tozo.
-
Niger yaifutia leseni kampuni ya fueli nyuklia ya Ufaransa
Jun 21, 2024 04:14Niger imebatilisha kibali cha kuliruhusu shirika moja la nishati la Ufaransa kuendelea kuzalisha fueli nyuklia katika moja ya migodi mikubwa zaidi ya urani duniani.
-
Mripuko wa kipindupindu waua makumi ya watu nchini Nigeria
Jun 20, 2024 23:15Idadi ya watu waliopoteza maisha kutokana na mripuko mpya wa ugonjwa wa kipindupindu katika jimbo la Lagos, kusini magharibi mwa Nigeria imeongezeka na kufikia 21.
-
MSF: Sudan inakabiliwa na moja ya migogoro mibaya zaidi duniani
Jun 20, 2024 07:50Imeelezwa kuwa, Sudan inakabiliwa na moja ya migogoro mibaya zaidi duniani kuwahi kushuhudiwa katika miongo ya hivi karibuni.
-
Walibya wataka kuhitimishwa mizozo ili uchaguzi ufanyike
Jun 20, 2024 07:38Umoja wa Mataifa umetangaza kuuwa, raia wa Libya wanataka mipasuko nchini mwao ikome na wanasiasa wanaohasimiana waandae uchaguzi iili kuikwamua nchi hiyo katika kinamasi cha mkwamo wa uongozi.
-
WFP yapata dola milioni 37 za kusaidia wakimbizi nchini Kenya
Jun 20, 2024 03:33Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) lmetangaza kwamba limepata mchango wa dola milioni 37 za Kimarekani kama msaada wa chakula na lishe kwa wakimbizi walioko nchini Kenya, msaada ambao utaliwezesha shirika hilo kuongeza mgao kwa wakimbizi walioko hatarini zaidi katika kambi za wakimbizi za Dadaab na Kakma hadi mwezi Disemba mwaka huu.
-
UNHCR: Kenya hivi sasa ina wakimbizi 775,000 kutoka zaidi ya nchi 20 tofauti
Jun 19, 2024 23:26Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa limesema kuwa, Kenya ina wastani wa wakimbizi 775,000 na wanaotafuta hifadhi kutoka zaidi ya nchi 20 tofauti duniani.
-
Kipindupindu chaua watu 123 Somalia, UN kuongeza juhudi za kukabiliana nacho
Jun 19, 2024 23:25Katika taarifa yao ya pamoja, serikali ya Somalia na Shirika la Afya Duniani (WHO) zimesema kuwa, mwitiko wa kukabiliana na mripuko wa kipindupindu nchini Somalia bado ni mdogo huku idadi ya vifo ikiongezeka na kufikia watu 123 tangu mwezi Januari.
-
Nchi nyingine ya Afrika yataka kujiunga na jumuiya ya BRICS
Jun 19, 2024 23:21Zimbabwe imesema iko tayari kujiunga na jumuiya ya kiuchumi ya BRICS, ambayo itatoa fursa nzuri kwa nchi hiyo kufanya biashara katika mazingira huru na nchi nyingine wanachama.
-
Moto wateketeza hifadhi ya silaha Chad, 55 wauawa na kujeruhiwa
Jun 19, 2024 07:31Makumi ya watu wamefariki dunia huku wengine wengi wakijeruhiwa kutokana na ajali ya moto iliyoikumba hifadhi ya silaha na zana za kijeshi nchini Chad.