-
Iran inatoa wito kwa BRICS kuchukua jukumu kukomesha jinai za Israel
Apr 26, 2024 04:23Iran imetoa wito kwa kundi la BRICS la mataifa yanayoinukia kiuchumi kuchukua jukumu la kukomesha mara moja jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina.
-
Ushauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi kuhusu kutumia vikwazo kama fursa ya maendeleo
Apr 25, 2024 07:47Akiashiria nafasi muhimu ya jumuiya ya wafanyakazi katika kuongeza uzalishaji na kuboresha hali ya kiuchumi ya Iran, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameyataja maendeleo ya Jamhuri ya Kiislamu katika sekta mbalimbali hususan silaha kuwa ni mfano wa kugeuza vikwazo kuwa fursa.
-
Ebrahim Raisi: Iran na Sri Lanka zimeazimia kuimarisha ushirikiano baina yao
Apr 25, 2024 04:02Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, hakuna kikwazo chochote katika kustawisha uhusiano wa kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni kati ya Jamhuri ya Kiislamu na Sri Lanka.
-
Iran yaitaka UN kukomesha mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Gaza
Apr 24, 2024 23:51Mwakilishi wa Iran katika ofisi za Umoja wa Mataifa mjini Geneva amemwandikia barua mkuu wa Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu na Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, akiwaomba kuchukua hatua za haraka za kukomesha mauaji ya kimbari yanayofanywa na Israel dhidi ya watu wa Gaza huko Palestina.
-
Kuiwekea vikwazo sekta ya ulinzi ya Iran, zawadi mpya iliyotunukiwa Israel na Magharibi
Apr 24, 2024 23:05Katika hatua uliyochukua ili kuufurahisha utawala wa Kizayuni wa Israel, Umoja wa Ulaya umetangaza kuwa utapanua wigo wa vikwazo ulivyoiwekea sekta ya ulinzi ya Iran.
-
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: Taifa la Iran halitasalimu amri mbele ya sera za mabavu
Apr 24, 2024 08:56Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema: Taifa kubwa na lenye historia ya miaka mingi la Iran halitasalimu amri mbele ya sera za kidhalimu na za kupenda kujitanua na litafika kwenye upeo mzuri wa mustakabali kwa kugeuza vikwazo kuwa fursa.
-
Kan'ani: Ukiukaji wa haki za binadamu nchini Marekani umeitia wasiwasi dunia
Apr 24, 2024 08:41Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, ukiukaji wa kutisha wa haki ya kupiga kura, uhuru wa kusema na haki za binadamu huko Marekani unawatia wasiwasi mkubwa watu duniani.
-
Sisitizo la Rais wa Iran kwamba Palestina ni suala kuu la Ulimwengu wa Wanadamu
Apr 24, 2024 03:49Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kwa mara nyingine tena kuwa kadhia ya Palestina ndilo suala kuu la Ulimwengu wa Wanadamu.
-
Msemaji wa Serikali ya Iran: Kuna Pengo kubwa kati ya viongozi wa Marekani na maoni ya umma
Apr 24, 2024 02:55Msemaji wa Serikali ya Iran amesema, akizungumzia msaada mpya wa kifedha wa Marekani kwa utawala wa Kizayuni wa Israel, kwamba: Pengo kubwa lililopo kati ya watawala walioathiriwa na Uzayuni na maoni ya umma katika nchi za Magharibi haliwezi kukanushwa tena.
-
Rais Raisi: Israel ikifanya kosa jengine dogo haitabaki tena
Apr 23, 2024 23:15Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika kikao na wasomi wa jimbo wa Punjab nchini Pakistan kwamba iwapo utawala wa Kizayuni wa Israel utafanya kosa jengine dogo na kuivamia ardhi takatifu ya Iran, hali itakuwa tofauti kabisa na hakuna ajuaye kama utawala huo utabaki tena.