-
Sisitizo la Rais wa Iran kwamba Palestina ni suala kuu la Ulimwengu wa Wanadamu
Apr 24, 2024 03:49Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kwa mara nyingine tena kuwa kadhia ya Palestina ndilo suala kuu la Ulimwengu wa Wanadamu.
-
Msemaji wa Serikali ya Iran: Kuna Pengo kubwa kati ya viongozi wa Marekani na maoni ya umma
Apr 24, 2024 02:55Msemaji wa Serikali ya Iran amesema, akizungumzia msaada mpya wa kifedha wa Marekani kwa utawala wa Kizayuni wa Israel, kwamba: Pengo kubwa lililopo kati ya watawala walioathiriwa na Uzayuni na maoni ya umma katika nchi za Magharibi haliwezi kukanushwa tena.
-
Rais Raisi: Israel ikifanya kosa jengine dogo haitabaki tena
Apr 23, 2024 23:15Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika kikao na wasomi wa jimbo wa Punjab nchini Pakistan kwamba iwapo utawala wa Kizayuni wa Israel utafanya kosa jengine dogo na kuivamia ardhi takatifu ya Iran, hali itakuwa tofauti kabisa na hakuna ajuaye kama utawala huo utabaki tena.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran akosoa ufuasi kipofu wa Ulaya kwa Marekani
Apr 23, 2024 08:49Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amekosoa uamuzi wa Umoja wa Ulaya wa kuiwekea Iran vikwazo vilivyo kinyume cha sheria, akisema kuwa watu wa Ulaya hawapaswi kufuata ushauri wa Marekani wa kuuridhisha utawala mtendajinai wa Israel.
-
Raisi: Iran itaendelea kuunga mkono uhuru wa Syria
Apr 23, 2024 05:06Rais wa Iran Ebrahim Raisi amesema Jamhuri ya Kiislamu itasimama kidete pamoja na Syria na itaendelea kuunga mkono uhuru wake na umoja wa ardhi yake.
-
Safari ya Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Pakistan
Apr 23, 2024 04:54Ziara ya siku mbili ya Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Pakistan inatathminiwa kuwa ni safari ya kihistoria ambayo inatarajiwa kufungua ukurasa na anga mpya ya uhusiano kati ya Tehran na Islamabad.
-
Rais wa Iran asisitiza kukuza ushirikiano wa pande mbili na Pakistan
Apr 22, 2024 23:39Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza udharura wa kukuza ushirikiano kati ya Tehran na Islamabad katika nyanja mbalimbali.
-
Juhudi kubwa za Iran za kupunguza umaskini na kuongeza ustawi katika jamii
Apr 22, 2024 09:50Takwimu mpya zilizochapishwa na Benki ya Dunia zinaonyesha kuwa, umaskini mutlaki umepungua kwa kiasi kikubwa nchini Iran katika miaka ya hivi karibuni.
-
Rais wa Iran aendelea na ziara ya siku mbili nchini Pakistan kuboresha usalama na mahusiano ya kibiashara
Apr 22, 2024 08:57Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran anaendelea na ziara yake ya siku mbili nchini Pakistan kwa lengo la kuimarisha usalama na uhusiano wa kibiashara baina ya nchi hizi jirani.
-
Iran: Operesheni ya Ahadi ya Kweli imeonesha uratibu bora wa kidiplomasia na kijeshi nchini
Apr 22, 2024 08:48Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, uratibu baina ya chombo cha demokrasia na Komandi Kuu ya Vikosi vya Ulinzi vya Iran katika kutekeleza operesheni ya kuitia adabu Israel iliyopewa jina la "Operesheni ya Ahadi ya Kweli" umekuwa na matunda mazuri sana kwa Iran, kimataifa.