-
Kambi ya anga ya Marekani nchini Iraq yashambuliwa na ndege zisizo na rubani
Jul 17, 2024 03:37Kambi ya jeshi la anga ya Ain al-Asad inayohifadhi wanajeshi wa Marekani nchini Iraq imeshambuliwa kwa ndege zisizo na rubani, wiki moja kabla ya ziara inayotarajiwa ya ujumbe wa ngazi ya juu wa jeshi la Iraq mjini Washington kuendeleza mazungumzo ya kukomesha uwepo wa muungano wa kijeshi unaoongozwa na Marekani nchini humo.
-
Kiongozi wa Hizbullah: Israel ni uvimbe wa saratani, utaondolewa
Jul 17, 2024 03:16Kiongozi wa harakati ya muqawama ya Hizbullah ya nchini Lebanon amesema "uvimbe wa saratani" wa Israel utaondolewa na kizazi cha sasa cha Wapalestina.
-
Holocaust ya kukaririwa kila siku huko Gaza
Jul 17, 2024 00:13Wazayuni wenye itikadi kali za kufurutu ada wanaotawala huko Tel Aviv, wakiongozwa na Benjamin Netanyahu, licha ya kushindwa kufikia malengo yao ya kijeshi katika Ukanda wa Gaza, wanaendelea kufanya mauaji mapya ya holocaust kila siku katika ukanda huo.
-
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa: Kila eneo la Gaza ni uwanja wa mauaji
Jul 17, 2024 00:07Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, mashambulizi na jinai zinazoendelea kufanywa na jeshi la utawala ghasibu wa Israel katika kambi za wakimbizi wa Kipalestina huko Ukanda wa Gaza vimegeuza kila sehemu ya eneo hilo kuwa uwanja wa mauaji.
-
Mufti wa Oman awataka Waislamu kuwapatia wakazi wa Gaza chakula na silaha
Jul 16, 2024 08:06Mufti Mkuu wa Oman amewataka Waislamu wote kutumia sehemu ya fedha zao kuwasiadia kwa chakula na silaha Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Umoja wa Ulaya waonya kuhusu hali mbaya ya kibinadamu Ukanda wa Gaza
Jul 16, 2024 08:05Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya ameonya kuhusiana na hali mbaya ya kibinadamu katika Ukanda wa Gaza na kubainisha kwamba, hali ya kibinadamu katika Ukanda huo ni mbaya na isiyovumilika.
-
Rais wa Syria atangaza masharti ya kukutana na Rais wa Uturuki
Jul 16, 2024 08:04Rais Bashar al-Assad wa Syria ametangaza kuwa, yuko tayari kukutana na Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki lakini kwa mashari.
-
Vikosi vya Yemen na Iraq vyafanya operesheni za kuitetea Palestina
Jul 16, 2024 03:48Vikosi vya wanamaji na vya makombora vya Yemen vimefanya operesheni nyingine dhidi ya meli za mafuta zilizokuwa zikielekea katika bandari za utawala wa Kizayuni unaokalia ardhi za Palestina kwa mabavu.
-
Taathira za kiuchumi za mashambulio ya mrengo wa Muqawama katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu
Jul 16, 2024 03:04Bandari ya Eilat iliyoko katika mji wa kusini zaidi mwa ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu, imefungwa na kutangaza kufilisika kutokana na mashambulizi ya muqawama wa Yemen na Iraq.
-
Radiamali ya OIC dhidi ya kuendelea jinai za utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza
Jul 15, 2024 08:56Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imelaani jinai za hivi karibuni za utawala ghasibu wa Israel, ambazo zimepelekea kuuuawa shahidi makumi ya watu katika maeneo ya Al-Sinaa na Tel-al-Hawa katika Gaza.