-
Rais wa Syria atangaza masharti ya kukutana na Rais wa Uturuki
Jul 16, 2024 08:04Rais Bashar al-Assad wa Syria ametangaza kuwa, yuko tayari kukutana na Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki lakini kwa mashari.
-
Vikosi vya Yemen na Iraq vyafanya operesheni za kuitetea Palestina
Jul 16, 2024 03:48Vikosi vya wanamaji na vya makombora vya Yemen vimefanya operesheni nyingine dhidi ya meli za mafuta zilizokuwa zikielekea katika bandari za utawala wa Kizayuni unaokalia ardhi za Palestina kwa mabavu.
-
Taathira za kiuchumi za mashambulio ya mrengo wa Muqawama katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu
Jul 16, 2024 03:04Bandari ya Eilat iliyoko katika mji wa kusini zaidi mwa ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu, imefungwa na kutangaza kufilisika kutokana na mashambulizi ya muqawama wa Yemen na Iraq.
-
Radiamali ya OIC dhidi ya kuendelea jinai za utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza
Jul 15, 2024 08:56Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imelaani jinai za hivi karibuni za utawala ghasibu wa Israel, ambazo zimepelekea kuuuawa shahidi makumi ya watu katika maeneo ya Al-Sinaa na Tel-al-Hawa katika Gaza.
-
Idadi ya mashahidi Gaza yakaribia watu 39,000
Jul 14, 2024 23:18idadi ya mashahidi wa Kipalestina waliouawa tangu kuanza hujuma kinyama ya jeshi la utawala wa Kizayuni huko Gaza (Oktoba 7) imekaribia watuu 39,000.
-
Hamas: Al Dhaif yuko salama, anaendeleza vita dhidi ya Wazayuni huko Gaza
Jul 14, 2024 08:38Afisa mwandanizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) anasema kamanda wa tawi la kijeshi wa harakati hiyo Mohammed Dhaif yuko "salama" licha ya madai ya Israel ya kutaka kumuua katika shambulio dhidi ya kambi ya al-Mawasi kusini mwa Gaza.
-
Shambulio la utawala wa Kizayuni huko Damascus, Syria
Jul 14, 2024 02:33Mtu mmoja ameuawa na wengine watatu kujeruhiwa katika shambulio la jeshi la Kizayuni huko Damascus, mji mkuu wa Syria.
-
Hamas: Madai ya Israel kuwa imewalenga viongozi wa muqawama Khan Yunis ni ya uongo wa kuficha jinai zake
Jul 13, 2024 23:27Harakati ya Mapambano ya Kiislamu (Hamas) jana Jumamosi ilikanusha madai ya Israel kwamba jinai zilizofanywa na utawala wa Kizayuni katika eneo la Al-Mawasi huko Khan Yunisna kuua shahidi wakimbizi 71 wa Kipalestina na kujeruhi wengine karibu 300 zililenga viongozi wa Palestina ni madai ya uongo yenye shabaha ya kuficha jinai za Israel katika eneo hilo.
-
Hizbullah: Israel haiwezi kuchukua hatua ya kijinga kwani inajua gharama yake ni nzito
Jul 13, 2024 23:27Kiongozi wa ngazi za juu wa harakati ya mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, Israel inafahamu vyema na kwa hakika kwamba haiwezi kuchukua hatua yoyote ya kijinga na ya kizembe dhidi ya harakati hiyo ya muqawama kwa sababu inaelewa kuwa utawala wa Kizayuni utakula kipigo kikubwa.
-
Hizbullah: Adui anafahamu kwamba, hapaswi kuchukua hatua ya kijinga
Jul 13, 2024 03:40Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa, iwapo utawala wa Kizayuni utachukua hatua ya kijinga utalipa gharama kubwa.