-
Ripoti: Wanajeshi 10,000 wa Israel wameomba huduma za afya ya akili
Jun 15, 2024 07:58Imeelezwa kwa akali wanajeshi 10,000 wa utawala haramu wa Israel wameripoti katika vituo vya matibabu na kuomba kupatiwa huduma ya afya ya akili.
-
HAMAS: US lazima iishawishi Israel ikubali usitishaji vita wa kudumu Gaza
Jun 14, 2024 07:29Kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema Marekani haina budi kuushawishi utawala wa Kizayuni wa Israel ukubali usitishaji vita wa kudumu kama sehemu ya makubaliano ya kumaliza vita vya mauaji ya kimbari vya Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
Jibu erevu la Hamas kwa mpango wa Biden na kutupwa mpira kwenye uwanja wa Netanyahu
Jun 14, 2024 03:20Ismail Haniyeh, mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Hamas, na Ziad al-Nakhaleh, katibu mkuu wa harakati ya Jihad Islami, wameongoza makundi mawili hayo ya mapambano ya ukombozi wa Palestina, katika kujibu mpango wa kusitisha mapigano na kubadilishana mateka katika kikao na Waziri Mkuu wa Qatar na vile vile wakatuma jibu hilo kwa viongozi wa Misri.
-
Kamati ya Umoja wa Mataifa: Israel imefanya maangamizi dhidi ya Wapalestina Ukanda wa Gaza
Jun 13, 2024 08:06Kamati ya kutafuta ukweli ya Umoja wa Mataifa imetangaza kuwa, utawala unaokalia kwa mabavu wa Quds umefanya "maangamizi" ya Wapalestina wakati wa vita dhidi ya Ukanda wa Gaza.
-
Hizbullah yayatwanga kwa maroketi na droni 150 maeneo ya Wazayuni na kuyateketeza kwa moto
Jun 13, 2024 10:09Vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni vimetangaza leo Alkhamisi kwamba, mashambulizi makubwa mapya ya Hizbullah ya Lebanon yaliyotumia makumi ya droni na maroketi yamesababisha moto mkubwa katika maeneo 15 ya milima ya Golan na ya kaskazin mwa ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni.
-
HAMAS: Blinken amevuruga juhudi za usitishaji vita Gaza
Jun 13, 2024 04:11Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Anthony Blinken anabeba dhima ya kutofikiwa makubaliano tarajiwa ya kusitisha vita katika Ukanda wa Gaza.
-
UN: Watoto 3,000 katika hatari ya kupoteza maisha kwa utapiamlo Gaza
Jun 13, 2024 04:08Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limeonya kuwa, takriban watoto 3,000 wa Kipalestina wapo katika ncha ya kuaga dunia mbele ya jamaa zao kwa kukosa matibabu ya utapiamlo wa kiwango cha juu kusini mwa Ukanda wa Gaza.
-
Mashambulio makubwa zaidi ya kulipiza kisasi ya Hizbullah dhidi ya Israel
Jun 13, 2024 03:50Shambulio kubwa zaidi kuwahi kufanywa na Hizbullah ya Lebanon tangu tarehe 7 Oktoba iliyopita hadi sasa limepelekea kengele ya hatari kupigwa katika vitongoji zaidi ya 60 vya walowezi wa Kizayuni kaskazini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel).
-
Hizbullah yainyeshea Israel kwa mvua ya maroketi baada ya kamanda kuuawa
Jun 12, 2024 22:53Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imeshambulia kwa mamia ya maroketi ngome na maeneo ya walowezi wa Kizayuni huko kaskazini mwa ardhi za Palestina zilizopachikwa jina bandia la Israel.
-
Walimwengu waandamana wakilaani mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza
Jun 12, 2024 03:52Maandamano ya kupinga na kulaani mauaji ya kimbari ya utawala ghasibu wa Kizayuni katika ukanda wa Gaza yanaendelea kufanyika katika nchi tofauti za dunia.