-
Wamarekani 3 wauawa katika operesheni ya Kimbunga cha al-Aqsa
Oct 09, 2023 03:54Shirika la habari la CNN limetangaza kuwa takriban raia 3 wa Marekani wameuawa katika operesheni ya Kimbunga cha al-Aqsa.
-
Idadi ya vifo vya Wazayuni yaongezeka hadi watu 1000
Oct 09, 2023 02:07Vyombo vya habari vya Kizayuni vimeripoti kuwa, idadi ya Wazayuni waliouawa katika operesheni za hivi karibuni za wapiganaji wa muqawama wa Palestina katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu imefikia 1000.
-
HAMAS: Kutuma Marekani manowari katika eneo hakuwatishi watu wetu wala Wanamuqawama
Oct 09, 2023 00:05Hazem Qassem, msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema: "tangazo la Marekani la kutuma manowari za kubebea ndege za kivita katika eneo hili ni sawa na kushiriki katika uvamizi dhidi ya watu wetu; na ni jaribio la kurejesha morali iliyosambaratika ya jeshi la utawala ghasibu baada ya shambulio la Brigedi za Al-Qassam.
-
Operesheni ya Hamas sawa na vita vya siku 33
Oct 08, 2023 23:03Jambo ambalo kwa miezi mingi limekuwa jinamizi kwa jeshi la utawala ghasibu wa Isreal na hasa walowezi wa Kizayuni wanaoishi katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu karibu na mpaka wa Ukanda wa Gaza limetimia kivitendo kufuatia operesheni ya kushtukiza ya Kimbunga cha al-Aqsa iliyotekelezwa kwa mafanikio makubwa Jumamosi na wapiganaji shupavu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas.
-
Al-Qassam: Tunaendelea kupambana na wavamizi katika medani kadhaa
Oct 08, 2023 10:07Msemaji wa Brigedi ya Al-Qassam amesisitiza kutumiwa makombora na wanamuqawama katika vitongoji vya walowezi wa Kizayuni na kubainisha kuwa wataendeleza vita dhidi ya utawala wa Kizayuni katika medani kadhaa.
-
Watalii kadhaa wa utawala wa Kizayuni wauawa Misri
Oct 08, 2023 09:23Watalii kadhaa wa utawala wa Kizayuni wameuliwa kwa kupigwa risasi huko Misri. Kwa mujibu wa Al Jazeera, duru moja ya usalama ya Misri imetangaza kuwa askari polisi wa nchi hiyo amewauwa kwa kuwapiga risasi watalii wawili wa Israel nchini humo. Polisi huyo wa Misri alitumia silaha yake binafsi kutekeleza mauaji hayo
-
Uungaji mkono mkubwa kwa mashambulio ya Hamas dhidi ya Israel
Oct 08, 2023 08:05Mashambulio makubwa na ya kushtukiza ya nchi kavu, anga na baharini ya wanamapambano wa Kipalestina dhidi ya walowezi wa Kizayuni wanaokaliwa kwa mabavu ardhi za Palestina, yaliyopewa jina la Kimbunga cha Al-Aqsa yamepata uungaji mkono mkubwa wa kieneo na kimataifa.
-
Kimbunga cha al-Aqsa; Mshutuko mkubwa wa kijeshi kwa Israeli +video
Oct 08, 2023 04:36Jana tarehe 7 Oktoba 2023 Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas ilitekeleza oparesheni ya Kimbunga cha al-Aqsa dhidi ya utawala ghasibu wa Israel, jambo ambalo limeshtua na kuuwacha utawala huo kinywa wazi.
-
Hizbullah: Brigedi za Shahidi Mughniya zimeshambulia vituo vya utawala wa Kizayuni
Oct 08, 2023 04:30Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetangaza katika taarifa kwamba, Brigedi za Shahidi Imad Mughniya zimeshambulia vituo vitatu vya Wazayuni katika mashamba ya Shab'aa yanayokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.
-
Misri na Russia zasisitiza kusitishwa mara moja mashambulizi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Ukanda wa Ghaza.
Oct 08, 2023 03:08Katika mazungumzo ya simu, Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Misri na Russia wamesisitiza juu ya ulazima wa kusitishwa mara moja mashambulizi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Ukanda wa Ghaza.