Umoja wa Ulaya waiondolea vikwazo Burundi +SAUTI
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i80168-umoja_wa_ulaya_waiondolea_vikwazo_burundi_sauti
Hatimaye Umoja wa Ulaya umechukua uamuzi wa kuondowa vikwazo ulivyoiwekea Burundi tangu 2016.
(last modified 2023-11-27T12:14:11+00:00 )
Feb 09, 2022 15:07 UTC

Hatimaye Umoja wa Ulaya umechukua uamuzi wa kuondowa vikwazo ulivyoiwekea Burundi tangu 2016.

Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Burundi amesema kuanzia sasa ushikiano kati ya Burundi na Umoja wa Ulaya utakuwa wa kila upande kuheshimu upande mwingine. 

Kwa taarifa zaidi na tumtegee sikio mwandishi wetu wa Bujumbura Hamida Issa