-
UN: Kutoadhibiwa wahalifu kunaeneza hisia za mauaji ya kimbari nchini Nigeria
Jun 21, 2026 02:52Ripoti ya Umoja wa Mtaifa inasema, kutoadhibiwa watu wanaofanya mashambulizi ya mara kwa mara dhidi ya viongozi wa kidini na sehemu za ibada, pamoja na kinga dhaifu na uwajibikaji duni, vinawafanya waathiriwa nchini Nigeria kuona kwamba vurugu zinazofanyika nchini humo ni mateso au hata mauaji ya halaiki.
-
Wanasayansi: Aina ya sasa ya Ebola imeitoka kwa wanyamapori
Jun 19, 2026 03:46Ugonjwa wa sasa wa Ebola, ambao ulizuka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Uganda mwezi uliopita, ni matokeo ya kuenea kwa wanyamapori. Haya yameelezwa na wanasayansi kutoka nchi hizo mbili jana Alhamisi.
-
Uamuzi wa mahakama ya Zimbabwe kuhusu marekebisho ya katiba wazua hisia tofauti
Jun 18, 2026 11:36Nchini Zimbabwe, uamuzi wa mahakama uliotupilia mbali pingamizi la kisheria lililotolewa na maveterani wa vita dhidi ya marekebisho ya katiba umesababisha hisia tofauti.
-
Milio ya risasi yasikika katika mji mkuu wa Niger, Niamey
Jun 18, 2026 10:06Milio ya risasi imesikika mapema leo Alkhamisi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Diori Hamani mjini Niamey, nchini Niger, miezi kadhaa baada ya shambulio kubwa la waasi katika eneo hilo hilo.
-
Afisa wa Yemen: Majeshi ya Iran ni mfano wa kuigwa katika ulimwengu wa Kiislamu
Jun 17, 2026 12:06Mkuu wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen, Mahdi al Mashat, amesifu Majeshi ya Iran, hasa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC), akisema utendaji wao wakati wa vita vya Marekani na Israel umeonyesha ustahimilivu, azma thabiti, na nguvu ya kijeshi.
-
Viongozi wa Afrika waunga mkono mpango wa dola milioni 518 kukabiliana na kuenea kwa Ebola
Jun 17, 2026 12:04Viongozi wa Afrika siku ya Jumanne walikutana katika mkutano wa dharura wa ngazi ya juu uliofanyika kwa njia ya mtandao, kwa lengo la kutafuta ufadhili wa dola milioni 518 za kudhibiti mlipuko wa Ebola unaoendelea huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Uganda.
-
Somalia yabainisha wasiwasi kufuatia uhusiano kati ya "Israel" na "Somaliland"
Jun 17, 2026 12:01Serikali ya Somalia imetoa wito kwa jamii ya kimataifa kuheshimu sheria za kimataifa, kutambua mamlaka yake ya kitaifa, na kulaani hatua zozote zinazodhoofisha umoja na uthabiti wa taifa hilo.
-
Huenda mlipuko wa Ebola nchini DRC ukadumu kwa mwaka mmoja
Jun 17, 2026 03:18Imebainika kuwa mlipuko wa ugonjwa hatari wa Ebola unaoendelea kuenea mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) bado haujafikia kilele chake, na huenda ukadumu kwa takriban mwaka mmoja.
-
Jeshi la Jamhuri ya Afrika ya Kati lakanusha uvumi kuhusu njama ya mapinduzi
Jun 17, 2026 03:13Jeshi la Jamhuri ya Afrika ya Kati limekanusha taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuwa kuna njama ya kutaka kuipindua serikali, na kusisitiza kuwa nchi hiyo ina utulivu wa kutosha, na kwamba taasisi za serikali zinafanya kazi kama kawaida.
-
Kesi inayomkabili wa Rais wa zamani wa CAR yaanza kusikilizwa bila ya yeye kuwepo mahakamani
Jun 16, 2026 11:06Kesi inayomkabili aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, Francois Bozize, imeanza kusikilizwa katika Mahakama Maalumu inayoungwa mkono na Umoja wa Mataifa katika mji mkuu wa nchi hiyo Bangui.