-
Sababu za Israel kupenda vita vienee eneo zima la Asia Magharibi
Jan 29, 2024 23:14Duru mbalimbali za habari zimeripoti kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel unafanya njama za kila namna za kutaka vita vienee kwenye eneo zima la Asia Magharibi.
-
Kushitakiwa Biden katika mahakama ya California kwa kuunga mkono mauaji ya kimbari
Jan 29, 2024 03:34Sambamba na kuendelea jinai za Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Ghaza na sambamba na hatua ya Mahakama ya Kimataifa ya Haki ICJ ya kutoa hukumu dhidi ya utawala wa Kizayuni kwa jinai zake hizo, hivi sasa wimbi la kulaani jinai za Wazayuni na waungaji mkono wake nalo linazidi kuwa kubwa, siku baada ya siku.
-
Nchi tatu za Ulaya zapinga ustawi wa Iran katika sekta ya anga za mbali
Jan 28, 2024 23:31Katika taarifa ya pamoja, Ujerumani, Ufaransa na Uingereza, ambazo kidiplomasia zinajulikana kama Troika ya Ulaya, zimelaani hatua ya Iran wiki iliyopita ya kurusha satalaiti ya Soraya au Thurayya katika mzunguko wa kilomita 750 kutoka ardhini kwa kutumia roketi ya "Qaim 100".
-
Wayemeni waunga mkono mashambulizi dhidi ya meli zinazoelekea Israel
Jan 28, 2024 04:14Kwa mara nyingine tena mamilioni ya wananchi wa Yemen wamefanya maandamano makubwa na kutangaza uungaji mkono wao kwa wananchi wanaodhulumiwa wa Ukanda wa Gaza na vilevile hatua za kijeshi dhidi ya meli inazoelekea ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina.
-
Kukuza uhusiano na nchi za Afrika, moja ya mihimili ya sera za kigeni za Iran
Jan 28, 2024 01:05Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameutaja msingi wa uhusiano wa Tehran na nchi za Kiafrika kuwa ni mungamano wa kiroho baina ya mataifa hayo na kwamba uhusiano huo ni moja ya mihimili mikuu ya siasa za nje za Iran.
-
Hukumu ya Mahakama ya The Hague; Nukta muhimu katika kutafuta haki kwa ajili ya watu wa Palestina
Jan 27, 2024 08:40Mahakama ya Kimataifa ya Haki, ICJ, yenye makao yake huko The Hague Uholanzi imetoa hukumu yake ya awali kwa shauri la mashtaka lililowasilishwa na Afrika Kusini dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel kuhusu mauaji ya kimbari ya utawala huo huko Ukanda wa Gaza.
-
Upinzani wa China kwa hatua ya Marekani ya kuishambulia kijeshi Yemen
Jan 26, 2024 23:04Wang Wenbing, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China amesema, Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa halijatoa kibali kwa mtu yeyote kutumia nguvu dhidi ya Yemen, akimaanisha hujuma na mashambulio ya kijeshi yanayofanywa na Marekani na Uingereza dhidi ya ngome na vituo vya harakati ya Ansarullah ya Yemen.
-
Tangazo la Marekani la kuwa tayari kwa mazungumzo ya kuhitimisha kuwepo kwake kijeshi nchini Iraq
Jan 26, 2024 04:27Afisa mmoja wa Marekani ambaye hakutaka jina lake litajwe amesema, katika barua ambayo balozi wa Marekani mjini Baghdad, Alina Romanovsky aliiwasilisha siku ya Jumatano kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq Fuad Hossein, Washington imetangaza kuwa iko tayari kuanza mazungumzo na Baghdad ya kuhitimisha uwepo kijeshi wa nchi hiyo na washirika wake katika ardhi ya Iraq.
-
Kuendelea mashinikizo ya Wahindu wenye itikadi kali dhidi ya Waislamu wa India
Jan 25, 2024 23:44Kama ilivyokuwa ikitarajiwa, baada ya kuzinduliwa hekalu la Ram, ambalo lilijengwa na Wahindu wenye itikadi kali katika sehemu ambayo zamani palikuwa na msikiti wa Babri katika jimbo la Uttar Pradesh, duru mpya ya mashinikizo ya kijamii dhidi ya Waislamu wa India imeanza.
-
Makubaliano ya Iran na Uturuki ya kuinua kiwango cha mabadilishano ya kibiashara baina yao
Jan 25, 2024 07:53Iran na Uturuki zimetoa taarifa ya pamoja mwishoni mwa safari ya Rais Ebrahim Raisi wa Iran nchini Uturuki na kusisitiza azma ya nchi hizo ya kuinua kiwango cha ushirikiano wa kisiasa, kiuchumi, kibiashara na kiutamaduni.