-
Hatua mpya za kivita na kichokozi za nchi zaMagharibi katika eneo la Asia Magharibi
Jan 24, 2024 23:25Marekani ikiwa ni mshirika wa kistratijia wa utawala wa Kizayuni wa Israel, ili kudumisha usalama, maslahi ya kiuchumi na kibiashara ya utawala huo katika Bahari Nyekundu, katikati ya mwezi wa Disemba mwaka jana, ilitangaza kuundwa muungano wa baharini lakini muungano huo haukuungwa mkono na nchi za Ulaya isipokuwa Uingereza.
-
Kugunduliwa makaburi ya halaiki ya watu weusi huko Florida Marekani, ukumbusho wa mateso ya kihistoria
Jan 24, 2024 09:55Ubaguzi wa rangi na unyanyasaji wa watu wasio wazungu, haswa watu weusi, huko Marekani ni wa siku nyingi kama historia ya nchi hiyo. Kuhusiana na jambo hilo, Jeshi la Wanahewa la Marekani limetangaza kugundua makaburi 121 ya watu weusi katika Kituo cha Jeshi la Anga cha MacDill huko Tampa.
-
Gharadhi ya Pakistan na Iran ya kuimarisha ushirikiano
Jan 23, 2024 22:58Kuimarika kwa uhusiano wa Iran na Pakistan baada ya takribani saa 72 za mvutano kumeonyesha kwa mara nyingine tena kwamba, kuna dhamira kubwa ya pande zote mbili ya kudumisha uhusiano thabiti wa nchi hizi mbili jirani za Kiislamu.
-
Kuongezeka uungaji mkono wa kimataifa kwa mashtaka ya Afrika Kusini dhidi ya Israel
Jan 23, 2024 05:01Afrika Kusini ikiwa moja ya nchi wanachama wa Mkataba wa Kuzuia na Kuadhibu Uhalifu wa Mauaji ya Kimbari, iliwasilisha shauri la mashtaka dhidi ya Israel kwa Mahakama ya Kimataifa ya Haki mnamo Desemba 29, 2023.
-
Kupungua pakubwa uungaji mkono kwa utawala wa Kizayuni duniani
Jan 22, 2024 22:42Matokeo ya uchunguzi wa maoni uliofanywa na Taasisi ya Morning Consult yanaonyesha kuwa uungaji mkono wa kimataifa kwa utawala wa Kizayuni umepungua sana kufuatia vita vilivyoanzishwa na utawala huo haramu dhidi ya wakazi wa Palestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Satalaiti ya Thuraya; nembo nyingine ya uwezo mkubwa wa wasomi vijana wa Iran
Jan 22, 2024 05:38Satalaiti ya Thuraya ambayo imebuniwa na kutengenezwa kwa juhudi na hima ya wasomi vijana wa Iran na kurushwa katika anga za juu, imefanikiwa kutuma taarifa zake za awali na kuthibitisha kuwa imetua sehemu iliyokusudiwa kwa mafanikio makubwa.
-
Mapendekezo ya Iran kwa ajili ya amani ya kudumu huko Palestina yawasilishwa NAM
Jan 21, 2024 23:27Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Mohammad Mokhber, amewasilisha mapendekezo ya Iran kwa ajili ya kutatua suala la Palestina katika mkutano wa 19 wa Harakati ya Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote (NAM) unaofanyika Kampala, nchini Uganda.
-
Shambulio la kigaidi la Israel dhidi ya Syria na kuuawa shahidi washauri watano wa Iran
Jan 21, 2024 05:50Washauri watano wa kijeshi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran waliuawa shahidi jana Jumamosi katika shambulizi la kigaidi la anga lililofanywa na utawala wa Kizayuni huko Damascus, mji mkuu wa Syria.
-
IAEA; chombo cha mashinikizo ya Magharibi dhidi ya Iran
Jan 20, 2024 23:07Nchi za Magharibi zinaendelea kutoa mashinikizo ya kisiasa dhidi ya Iran kupitia Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa IAEA katika wakati ambapo Jamhuri ya Kiislamu inashirikiana kikamilifu na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki hata nje ya majukumu yake.
-
Vita vya Gaza na kuongezeka changamoto ndani ya utawala wa Kizayuni
Jan 20, 2024 04:45Kuendelea vita vya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza kumezidisha changamoto ndani ya utawala huo ghasibu.