-
Bwabwaja za Wazayuni dhidi ya Iran, katikati ya mgogoro
Jan 01, 2024 01:08Naftali Bennett, Waziri Mkuu wa zamani wa utawala wa Kizayuni amedai katika makala iliyochapishwa tarehe 28 Disemba (7 Januari) katika gazeti la Wall Street Journal kwamba utawala huo na Marekani zinapasa kuweka lengo la wazi la kuuangusha mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Afrika Kusini yaushtaki utawala wa Kizayuni kwa kuendesha mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina
Dec 31, 2023 07:51Kufuatia kuendelea jinai za utawala wa kibaguzi wa Israel dhidi ya Wapalestina wasio na hatia, Afrika Kusini imeushtaki rasmi utawala huo katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki huko The Haque. Mastaka muhimu ya Afrika Kusini ni jinai za kivita, mauaji ya kizazi na kikabila huko Gaza na katika maeneo mengine ya ardhi zinazokaliwa kwa mabavu ya Palestina.
-
Sisitizo la Kiongozi wa Korea ya Kaskazini la kujiweka tayari jeshi la nchi hiyo kwa ajili ya kukabiliana na Marekani
Dec 31, 2023 01:00Kim Jong Un Kiongozi wa Korea Kaskazini ameviagiza vikosi vya ulinzi vya nchi hiyo, sekta ya uundaji silaha na kitengo cha silaha za nyuklia cha nchi hiyo vijiandae kuingia vitani na Marekani ikiwa ni jibu kwa hatua kubwa za kichokozi na uhasama za nchi hiyo.
-
Hatua mpya ya serikali ya Biden ya kuuunga mkono utawala wa Kizayuni
Dec 30, 2023 07:42Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Marekani imetangaza kupitia taarifa kuwa imetumia mamlaka iliyopewa kisheria kuuzia utawala wa haramu wa Israel shehena ya silaha bila idhini ya wabunge wa Kongresi ya nchi hiyo.
-
Mauaji ya watoto huko Gaza; Kazi ya siku zote ya utawala wa Kizayuni wa Israel
Dec 30, 2023 03:44Ripoti iliiyotolewa na Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) imesema kwamba mwaka 2023 ulikuwa mwaka mbaya zaidi kwa watoto katika Ukingo wa Magharibi.
-
Taasisi za kimataifa zaelezea wasiwasi wao kuhusu hali mbaya ya kibinadamu katika Ukanda wa Gaza
Dec 29, 2023 22:59Kuendelea vita vya kikatili na jinai zinazotekelezwa na utawala wa kibaguzi wa Israel dhidi ya raia wa Ukanda wa Gaza kumeamsha hasira na wasiwasi wa tasisis za kimataifa kuhusiana hali mbaya na ya kusikitisha ya kibinadamu katika ukanda huo.
-
Kuuawa shahidi, zawadi ya juhudi kubwa alizofanya Sayyid Razi katika umri wake
Dec 29, 2023 05:07Mazishi ya mwili wa Sayyid Razi Mousavi yalifanyika jana Alhamisi mjini Tehran ambapo umati mkubwa wa wananchi na viongozi wa ngazi za juu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran walihudhuria.
-
Uhispania yapinga kushiriki vikosi maalumu vya wanamaji vya Ulaya katika Muungano wa Baharini wa Marekani
Dec 28, 2023 23:00Pedro Sanchez Waziri Mkuu wa Uhispania amepinga uamuzi wa Umoja wa Ulaya wa kuunga mkono Muungano wa Baharini wa Marekani katika Bahari Nyekundu. Sanchyez amesisitiza kuwa: 'Tunapinga kutumiwa vikosi vya baharini vya Ulaya dhidi ya maharamia kwa jina la oparesheni ya "Atalanta" kwa ajili ya kulinda meli za kibiashara katika Bahari Nyekundu mkabala wa mashambulizi ya Yemen.'
-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi kuhusu mtazamo wa kimantiki na wa hoja wa Uislamu kuhusu wanawake
Dec 28, 2023 08:12Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amekutana na maelfu ya wanawake na wasichana na kubainisha mtazamo wa kimantiki na kiakhlaqi wa Uislamu kuhusu nyuga mbalimbali za uwepo wa wanawake katika familia na shughuli zao zisizo na kikomo katika jamii, katika uga wa siasa na katika kusimamia majukumu katika ngazi mbalimbali.
-
Radiamali dhidi ya uamuzi mbovu wa Papa kuhusu ndoa za watu wa jinsia moja kanisani
Dec 28, 2023 03:42Katika hali ya kutatanisha na ambayo haijawahi kushuhudiwa tena huko nyuma, Papa Francis Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani ametoa ruhusa rasmi kwa makasisi kufanya sherehe na kubariki ndoa za watu wa jinsia moja katika kanisa hilo.