-
Safari ya Rais wa China nchini Marekani
Nov 18, 2023 07:50Rais Xi Jinping wa China amesisitiza katika mazungumzo yake na Rais Joe Biden wa Marekani katika mji wa San Francisco katika jimbo la California kwamba Beijing na Washington zinapasa kufanya juhudi za kutatua hitilafu kubwa zilizopo baina yao, kila upande uheshimu mistari myekundu na kanuni za upande wa pili na zijiepushe na hatua za kichochezi.
-
Sababu na matokeo ya kuuzuliwa Spika wa Bunge la Iraq
Nov 18, 2023 03:14Jumanne iliyopita, Mahakama ya Juu ya Iraq ilimuuzulu Spika wa Bunge la nchi hiyo, Mohammad Al-Halbousi.
-
Kucheleweshwa azimio la Baraza la Usalama katika kivuli cha mashambulio ya pande zote dhidi ya Gaza
Nov 17, 2023 23:24Ingawa Baraza la Usalama hatimaye limefanikiwa kupitisha azimio la usitishaji vita wa muda na wa kibinadamu huko Gaza baada ya kupita siku 40, lakini utawala wa Kizayuni umepuuzilia mbali azimio hilo na kuendelea kuushambulia kinyama Ukanda wa Gaza.
-
Jibu la Iran kuhusu kupasishwa azimio la Canada dhidi yake
Nov 17, 2023 05:44Kamati ya Tatu ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa imepitisha azimio jipya kuhusu hali ya haki za binadamu nchini Iran katika hali ambayo idadi ya walioliunga mkono ilikuwa ndogo kuliko ya wale waliolipigia au kujizuia kupiga kura.
-
Azimio la Baraza la Usalama kuhusu vita vya Gaza: Makubaliano ya kiwango cha chini
Nov 16, 2023 23:47Uzembe wa Umoja wa Mataifa na hasa mkwamo katika Baraza la Usalama la umoja huo ambao una jukumu muhimu la kulinda amani na usalama wa kimataifa, kuhusu vita vya Gaza, jinai za kivita na mauaji ya kimbari ya Wapalestina yanayofanywa na utawala wa Kizayuni, umekosolewa vikali kimataifa.
-
Umuhimu wa maneno ya Kiongozi wa Ansarullah kuhusu vita vya Gaza
Nov 16, 2023 04:43Abdul Malik al-Houthi, Kiongozi wa Ansurullah ya Yemen ameashiria katika hotuba yake uungaji mkono wa pande zote wa Marekani kwa utawala wa Kizayuni na kukosoa misimamo ya nchi 57 za Kiarabu na Kiislamu kuhusiana na suala muhimu la Ghaza.
-
Kugeuzwa hospitali ya al-Shifa kuwa kambi ya kijeshi na jitihada za kuwafukuza Wapalestina huko Gaza
Nov 16, 2023 01:46Mashambulio ya mabomu katika maeneo ya makazi ya raia huko Ukanda wa Gaza na kuuawa shahidi wagonjwa kadhaa waliokuwa wamelazwa katika Hospitali ya al-Shifa kutokana na mashambulizi ya wanajeshi wa Kizayuni dhidi ya hospitali hiyo ni miongoni mwa habari mpya zenye kutia uchungu na kuhuzunisha sana kuhusiana na vita vya Gaza.
-
Kuongezeka kukosolewa uungaji mkono wa Magharibi kwa utawala wa Kizayuni
Nov 16, 2023 00:41Kuendelea jinai , mauaji ya kimbari na kutokomezwa kizazi cha wananchi wa Gaza na utawala wa Kizayuni ambazo zimesababisha maelfu ya Wapalestina kuuawa shahidi na kujeruhiwa, kumepelekea kushtadi kukosolewa siasa za upendeleo za serikali za Magharibi kwa Israel.
-
Kufichuliwa siasa za kundumakuwili za Uturuki katika kuuwekea vikwazo utawala wa Kizayuni
Nov 15, 2023 08:16Licha ya nara za viongozi wa serikali ya Ankara dhidi ya jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel, lakini kila siku kunafichuliwa habari za biashara mapya za Uturuki na utawala huo unaokalia kwa mabavu ardhi za Wapalestina.
-
Rekodi mpya ya mauaji ya watoto wachanga yaliyofanywa na jeshi la Israel katika vita vya Gaza
Nov 15, 2023 03:38Kuendelea kushambuliwa nyumba na makazi ya raia na vituo vya matibabu huko Ukanda wa Gaza na mapigano makali ya vikosi vya wapigania uhuru wa Palestina dhidi ya wavamizi wa Kizayuni katika mihimili tofauti ya eneo hilo ni miongoni mwa habari zinazoendelea kuzungumziwa sana katika vyombo vya habari duniani