-
Kupasishwa azimio la Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu Ghaza
Oct 28, 2023 08:39Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepasisha rasimu ya azimio lililopendekezwa na nchi za Kiarabu na kutaka kutekelezwa usitishaji vita wa kibinadamu haraka iwezekanavyo huko Ghaza.
-
Diplomasia yenye nguvu na amilifu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuhusu Ghaza; tokea safari za kieneo hadi New York
Oct 28, 2023 04:25Hossein Amirabdollahian, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, katika kuendelea na siasa za diplomasia amilifu na imara kuhusu Ghaza, amesafiri mjini New York ambapo ameshiriki katika kikao cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na kusisitiza juu ya haja ya kuchukuliwa hatua muhimu za dharura ili kukomesha vita huko Ghaza
-
Radiamali ya China kuhusu ripoti ya mwaka ya Pentagon
Oct 27, 2023 22:52Wizara ya Ulinzi ya China imelaani ripoti ya kila mwaka ya Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) kuhusu nchi hiyo.
-
Kupigiwa kura ya veto maazimio yanayohusu vita vya Ghaza katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa
Oct 27, 2023 03:57Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa mara nyingine tena limeshindwa kupasisha azimio Katika hali ambayo wananchi wa Ukanda wa Ghaza bado wanakabiliwa na mashambulizi ya kinyama na ya kutisha ya utawala wa Kizayuni ambapo utawala huo unazuia kufikishwa misaada ya dharura katika eneo hilo.
-
Qatar yasikitishwa na utendaji kazi wa Baraza la Usalama huko Ghaza
Oct 26, 2023 23:02Mwakilishi wa Qatar katika Umoja wa Mataifa amelalamikia siasa za utolewaji misaada ya kibinadamu huko Ghaza na kushindwa Baraza la Usalama kupitisha azimio kuhusiana na matukio ya eneo hilo.
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu: Marekani ni mshirika katika uhalifu wa Israel
Oct 26, 2023 04:03Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amezungumzia dhulma inayokabiliwa na subira na ukakamavu wa wananchi wa Gaza dhidi ya jinai zinazoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel na kusema: Safari za mara kwa mara za marais wa Marekani na nchi nyingine za shari na dhalimu kama Uingereza, Ufaransa na Ujerumani huko katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu ni jaribio la kuzuia kusambaratika utawala huo ghasibu.
-
Maandamano ya wanachuo India kulalamikia jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel
Oct 25, 2023 22:53Katika hali ambayo, serikali ya India imechukua mkono wa sera za kuunga mkono jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza, mamia ya wanafunzi wa vyuo vikuu mbalimbali vya New Delhi, mji mkuu wa nchi hiyo wameandamana na kulaani jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya wakazi wa Gaza.
-
Utawala wa Kizayuni wa Israel wamtishia pia Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa
Oct 25, 2023 09:44Licha ya kuwa, misimamo ya Umoja wa Mataifa haikuwiana kabisa na ukubwa na upeo wa jinai za kivita zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel huko Gaza, na hadi sasa bado misimamo hiyo haijawa athirifu katika kuzima vita hivyo, lakini misimamo ya hivi karibuni ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa haijavumiliwa na utawala huo.
-
Kubainishwa misimamo ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuhusiana na vita vya Gaza
Oct 25, 2023 04:19Siku 19 zimepita tangu kilipoanza Kimbunga cha Al-Aqsa na vita vya utawala wa Kizayuni dhidi ya Ukanda wa Gaza. Suali muhimu la kujiuliza hapa ni je, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekuwa na msimamo gani kuhusiana na vita hivi na imechukua hatua gani?
-
Maelfu ya waliokimbia makazi yao na waliojeruhiwa huko Ghaza wanasubiri misaada ya dharura na matibabu
Oct 24, 2023 23:21Licha ya kuwa utawala wa Kizayuni, chini ya mashinikizo ya kimataifa, hatimaye umekubali kupelekwa misaada midogo ya kibinadamu huko Ghaza, na hayo ni baada ya kupitia ukaguzi unaochukua muda mrefu, lakini misaada hiyo haitoshi kabisa kukidhi mahitaji mengi ya watu wa Ghaza walio chini ya mashambulio makali na mzingiro wa kidhalimu wa utawala huo wa kibaguzi.