Uchambuzi
  • Mitetemo ya Kimbunga cha Al Aqsa ndani ya Israel

    Mitetemo ya Kimbunga cha Al Aqsa ndani ya Israel

    Oct 24, 2023 02:40

    Mgawanyiko na hitilafu zinazidi kuongezeka ndani ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu tangu kuundwa serikali yenye misimamo mikali ya Netanyahu na kuenea hadi kwa raia wa kawaida; huku wafuasi wa makundi mawili ya kisekula na kidini wakikabiliana mara kadhaa hadi sasa na wakati mwingine wakijikita katika mapigano na kuibua ghasia.

  • Uungaji mkono wa China kwa matakwa ya nchi za Kiislamu kuhusu Palestina; matarajio na matumaini.

    Uungaji mkono wa China kwa matakwa ya nchi za Kiislamu kuhusu Palestina; matarajio na matumaini.

    Oct 24, 2023 01:27

    Waziri wa Mambo ya Nje wa China ametangaza uungaji mkono wa nchi hiyo kwa matakwa halali ya nchi za Kiarabu na Kiislamu kuhusiana na suala la Palestina.

  • Watu waliozingirwa Gaza wanasubiri msaada wa kimataifa

    Watu waliozingirwa Gaza wanasubiri msaada wa kimataifa

    Oct 23, 2023 07:41

    Antonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema katika hotuba yake kwenye Kikao cha Amani cha Cairo: 'Tunakutana katikati ya eneo ambalo lina maumivu makali na limesimama hatua moja kutoka kwenye shimo refu. Eneo ambalo hauwezi kukosa kuhuzunika na kukereka na moyo kuuma na kusononeka kwa kuona picha za machungu na mateso ya watu wake.'

  • Kurejea mitaani waandamanaji kumpinga Netanyahu

    Kurejea mitaani waandamanaji kumpinga Netanyahu

    Oct 23, 2023 01:04

    Wakazi wa ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu zilizopachikwa jina bandia la Israel, kwa mara nyingine wamemiminika mitaani kushinikiza kujiuzulu waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni, Benjamin Netanyahu.

  • Kuchukuliwa hatua ndogo katika vita vya Ghaza ni muhimu lakini hakutoshi

    Kuchukuliwa hatua ndogo katika vita vya Ghaza ni muhimu lakini hakutoshi

    Oct 22, 2023 22:52

    Licha ya kwamba mashambulizi ya mauaji ya umati ya utawala wa Kizayuni dhidi ya wakazi zaidi ya milioni mbili na laki tatu wa Ukanda wa Ghaza yameingia katika wiki ya tatu ambapo yamesababisha majeruhi na kuawa shahidi Wapalestina zaidi ya elfu 16 na zaidi ya wakazi wa Ghaza milioni moja kuhama makazi yao, lakini kuchukuliwa hatua kadhaa, japo ni madogo, huenda kukaandaa uwanja wa kudhibitiwa mapigano na kupunguzwa machungu ya wananchi wa Palestina.

  • Kimya cha Baraza la Usalama kuhusu kuhamishwa zaidi ya asilimia 60 ya wakazi wa Ghaza

    Kimya cha Baraza la Usalama kuhusu kuhamishwa zaidi ya asilimia 60 ya wakazi wa Ghaza

    Oct 22, 2023 07:55

    Katika hali ambayo kwa mujibu wa takwimu za Umoja wa Mataifa, zaidi ya asilimia 60 ya wakazi wa Ukanda wa Ghaza wamehama makazi yao kutokana na jinai za utawala wa Kizayuni, Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa bado limekaa kimya kuhusu suala hilo huku madola ya Magharibi ya baraza hilo yakichochea na kuunga mkono jinai hizo za Tel Aviv.

  • Kuendelea radiamali ya wananchi na nchi za Kiislamu kwa jinai za Israel dhidi ya Wapalestina

    Kuendelea radiamali ya wananchi na nchi za Kiislamu kwa jinai za Israel dhidi ya Wapalestina

    Oct 22, 2023 04:19

    Jinai za utawala wa kibaguzi wa Israel katika Ukanda wa Gaza zimeendelea kulaaniwa na tawala na mataifa mbalimbali ya duniani hususan madola na nchi za Kiislamu.

  • Vipimo viwili tofauti vya Ulaya kuhusu uhuru wa kujieleza; vitisho na adhabu kwa waungaji mkono wa Palestina

    Vipimo viwili tofauti vya Ulaya kuhusu uhuru wa kujieleza; vitisho na adhabu kwa waungaji mkono wa Palestina

    Oct 21, 2023 23:07

    Matukio ya hivi karibuni huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu na Israel hasa baada ya mashambulizi ya Kimbunga cha Al-Aqsa na jibu la kinyama la utawala wa Kizayuni, hasa mashambulizi ya kikatili ya utawala huo dhidi ya wanawake na watoto wa Ukanda wa Ghaza, yameibua radiamali kali ya jamii ya kimataifa dhidi ya utawala huo.

  • Ushirikiano wa Korea Kaskazini na Russia dhidi ya Marekani

    Ushirikiano wa Korea Kaskazini na Russia dhidi ya Marekani

    Oct 21, 2023 07:58

    Katika mazungumzo yake na kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un, Sergei Lavrov, Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, wamejadiliana kuhusu uhusiano wa pande mbili na ushirikiano wao wa hivi sasa na kusisitiza juu ya makubaliano yao ya kutatua kidiplomasia masuala yenye utata katika Peninsula ya Korea.