-
Yaliyojiri katika kikao cha kwanza cha Bunge la Lebanon
Jun 02, 2022 22:11Kikao cha kwanza cha bunge la Lebanon kimefanyika kwa kuchaguliwa Spika na Naibu Spika wa bunge hilo.
-
Kufikishwa salamu za maneno za Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa Papa Francis
Jun 02, 2022 07:25Ayatullah Alireza Arafi Mkurugenzi wa Vyuo vya Kidini, Hawza nchini Iran amemfikishia Papa Francis, Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani salamu za maneno za Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, alipokutana na kuzungumza na Papa mjini Vatican.
-
Makubaliano ya serikali ya Islamabad na Taliban ya Pakistan ya kusimamisha vita kikamilifu
Jun 01, 2022 21:54Taarifa kutoka Afghanistan zinasema kuwa, kumepigwa hatua nzuri katika mazungumzo baina ya serikali ya Islamabad na kundi la Taliban la Pakistan linalojulikana kwa jina la Tehrik-i-Taliban Pakistan (TTP) kwa upatanishi wa kundi la Taliban la Afghanistan. Taarifa hizo zinasema kuwa pande mbili zimefikia makubaliano ya kusimamisha vita kikamilifu baina yao katika mazungumzo yanayoendelea mjini Kabul.
-
Kukataa Marekani kuipa Ukraine makombora ya kuweza kupiga ardhi ya Russia
Jun 01, 2022 01:21Rais wa Marekani Joe Biden amesema kuwa nchi yake haitoipa Ukraine makombora ya masafa marefu ya kuweza kupiga ardhi ya Russia na kwamba hiyo si katika ajenda ya Washington ya kuisaidia Kyiv.
-
Wasiwasi wa kuongezeka utumiaji mabavu unaotokana na ubebaji silaha
May 31, 2022 20:49Sambamba na kushadidi vitendo vya utumiaji mabavu vinavyotokana na umiliki kiholela na ubebaji silaha nchini Marekani, kumeibuka wasiwasi mkubwa katika mataifa jirani na Marekani.
-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu juu ya wasiwasi wa pamoja wa Iran na Tajikistan kuhusiana na Afghanistan
May 31, 2022 08:09Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameashiria mambo mengi ya kihistoria, kidini, kiutamaduni na kilugha yanayoyaunganisha mataifa mawili ya Iran na Tajikistan na kusema kuwa, nchi hizi mbili ni sawa na ndugu wa familia moja.
-
Kituo cha Kistratijia cha 313; Nembo ya Uwezo wa Kijeshi wa Iran
May 30, 2022 22:00Mkuu wa Kamandi ya Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Meja Jenerali Mohammad Baqeri siku ya Jumamosi alikagua kituo kipya cha siri kilicho chini ya ardhi cha ndege zisizo na rubani cha Jeshi la Jamhuri Kiislamu ya Iran. Akiwa hapo alijioenea uwezo mkubwa wa ndege za kivita zisizo na rubani za jeshi hilo zilizoko katika kituo hicho cha siri.
-
Umoja wa Ulaya washindwa kuiwekea Russia vikwazo vya mafuta; hitilafu zaongezeka
May 30, 2022 06:32Jitihada za Umoja wa Ulaya za kufikia muafaka kuhusu kutekeleza awamu ya sita ya vikwazo dhidi ya Russia zimegonga mwamba kwani Hungary ni moja ya wapinzani wakubwa zaidi wa mpango huo. Wanadiplomasia wa ngazi za juu wa Umoja wa Ulaya katika kikao chao maalumu cha Jumapili walijadili mpango wa kuzuia meli za mafuta za Russia kuingiza mafuta Ulaya lakini waruhusu mafuta hayo yaingie kwa mabomba. Hata hivyo mazungumzo hayo yalimalizika bila natija.
-
Vikwazo vya upande mmoja vya Marekani; sababu ya kuongezeka maafa katika sekta ya afya
May 29, 2022 22:41Waziri wa Afya, Tiba na Mafunzo ya Utabibu wa Iran amesema kuwa, vikwazo vya kibenki na kifedha vya upande mmoja vya Marekani vimepelekea kuongezeka hasara na maafa katika sekta ya afya ulimwenguni.
-
Mkutano wa viongozi wa Umoja wa Afrika na daghadagha kuu zinazolikabili bara la Afrika
May 29, 2022 06:10Mkutano wa wakuu wa Umoja wa Afrika uliokuwa ukifanyika katika mji mkuu wa Guinea ya Ikweta, Malabo umemalizika.