-
Kikao cha wakuu wa NATO na kung'ang'ania msimamo wa kiuadui dhidi ya Russia
Mar 25, 2022 21:52Kikao cha dharura cha wakuu wa Jeshi la Nchi za Magharibi NATO kilifanyika juzi Alkhamisi mjini Brussels, Ubelgiji ambayo ndio makao makuu ya Umoja wa Ulaya. Katika siku za hivi karibuni, Brussels imekuwa mwenyeji wa vikao vitatu ambavyo ni cha wakuu wa NATO, cha G7 na cha Umoja wa Ulaya.
-
Ziara ya tatu ya Amir-Abdollahian nchini Syria katika kipindi cha miezi 7
Mar 25, 2022 04:27Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Hossein Amir-Abdollahian, Jumatano, tarehe 23 Machi alitembelea kwa mara ya tatu nchi ya Syria katika kipindi cha miezi 7 iliyopita.
-
Vita vya Ukraine na mgogoro wa chakula duniani
Mar 24, 2022 21:57Zaidi ya nchi 40 zimetia saini barua ya kutaka kuitishwe mkutano wa dharura wa Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) ili kukabiliana na mgogoro wa chakula, ambao huenda ukazidishwa na vita vya Ukraine.
-
Iran yasisitiza ulazima wa kuuzuia utawala wa Kizayuni kujipenyeza katika Ulimwengu wa Kiislamu
Mar 24, 2022 05:34Mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika mkutano wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) amesema jumuiya hiyo inapaswa kuzuia kujipenyeza kwa utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ulimwengu wa Kiislamu.
-
Malengo ya mikutano ya Bennett, Bin Zayed na Al-Sisi huko Misri
Mar 23, 2022 21:52Waziri Mkuu wa Israel na Mwanamfalme wa Abu Dhabi wamekutana na Rais Abdel Fattah al-Sisi wa Misri katika ziara zao nchini humo.
-
Mkutano wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu mjini Islamabad
Mar 23, 2022 06:16Mkutano wa 48 wa siku mbili wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) ulianza jana Jumanne mjini Islamabad, mji mkuu wa Pakistan.
-
Uuzaji makombora na jinsi Marekani inavyoendelea kuitazama Saudia kama wenzo tu
Mar 22, 2022 22:17Kufuatia ombi lililotolewa na Saudi Arabia, serikali ya Marekani imeipatia nchi hiyo ya kifalme idadi kadhaa ya makombora ya patriot.
-
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu na kauli mbiu ya mwaka mpya: Uzalishaji unaotegemea teknolojia na kutengeneza ajira
Mar 22, 2022 03:52Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyid Ali Khamenei, ametoa ujumbe kwa mnasaba wa kuanza mwaka mpya wa 1401 Hijria Shamsia na akaupa mwaka huo jina la mwaka wa "Uzalishaji wa Kutegemea Teknolojia na Utengenezaji Ajira".
-
Shutuma za Russia kwa Marekani inayokwamisha mazungumzo ya Ukraine
Mar 21, 2022 22:19Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Sergeĭ Viktorovich Lavrov ameishutumu vikali Marekani kwa siasa zake kuhusu vita vya Ukraine na kusema kuwa, Washington ndiyo inayokwamisha kufikiwa makubaliano baina ya Moscow na Kyiv hata katika masuala madogo kabisa. Amesema, hivi sasa Marekani inawatwisha viongozi wa Ukraine misimamo yake na ndio maana Kyiv inakwamisha kila kitu katika mazungumzo yake na Russia.
-
Sisitizo la Kamanda wa Jeshi la Majini la Iran kuhusu kupambana vilivyo na ushetani wa adui
Mar 21, 2022 04:23Admiral Shahram Irani, Kamanda wa Jeshi la Majini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu imejiimarisha vilivyo kupambana na ushetani wowote wa maadui na haitatoa mwanya hata kidogo wa kufanikiwa njama za adui.