-
Umuhimu wa safari ya Bashar al Assad huko Imarati
Mar 20, 2022 23:05Rais wa Syria Bashar al-Assad Ijumaa iliyopita alifanya ziara yake ya kwanza katika nchi ya Kiarabu baada ya miaka 11. Assad alitembelea nchi ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) katika ziara ambayo imewashangaza wengi na kuikasirisha mno serikali ya Marekani
-
Kumbukumbu ya kupasishwa sheria ya kutaifishwa sekta ya mafuta ya Iran
Mar 20, 2022 09:55Tarehe 29 mwezi Esfand mwaka 1329 kwa kalenda ya Iran inaadhimishwa kama siku ya kukumbuka kupasishwa sheria ya kutaifishwa sekta ya mafuta ya Iran .
-
Hizi ndizo nchi zilizopinga Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Chuki Dhidi ya Uislamu (Islamophobia)
Mar 19, 2022 23:13Katika hatua muhimu, Umoja wa Mataifa wiki hii uliitambua rasmi Machi 15 kama Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Chuki Dhidi ya Uislamu, lakini baadhi ya nchi zilichagua kutounga mkono azimio hilo.
-
Ziara isiyo na tija ya Waziri Mkuu wa Uingereza katika nchi za Saudia na Imarati
Mar 19, 2022 02:35Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson mbaye alikuwa ziarani katika nchi za Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati), amejaribu sana kuzishawishi nchi hizo mbili ziongeze kiwango chao cha uzalishaji mafuta, lakini amerejea London mikono mitupu.
-
Kwa nini Ansarullah imekataa kushiriki katika kikao cha Riyadh?
Mar 18, 2022 23:22Harakati ya wananchi wa Yemen ya Ansarullah imetaa ombi la Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi la kwenda Riyadh na kufanya mazungumzo na Saudi Arabia.
-
Marekani na NATO wahusika wakuu wa mzozo wa Ukraine
Mar 18, 2022 12:00Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China amesema Marekani na NATO ndio wasababishaji wakuu wa mgogoro wa Ukraine na ndio wenye ufunguo wa kumaliza mgogoro huo.
-
Jinai ya Halabja; muelekeo wa Magharibi na uungaji mkono thabiti wa Iran kwa Wakurdi
Mar 17, 2022 18:50Jinai ya Halabja ni moja ya matukio yaliyodhihirisha wazi kwamba kinyume na Magharibi, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran siku zote ni muungaji mkono thabiti wa raia Wakurdi wa Iraq.
-
Safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran nchini Russia na matokeo yake
Mar 17, 2022 03:08Hossein Amir-Abdollahian, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran aliwasili mjini Moscow siku ya Jumanne akiongoza ujumbe wa ngazi za juu kwa ajili ya kukutana na kuzungumza na Sergey Lavrov, Waziri mwenzake wa Mambo ya Nje wa Russia kuhusu masuala ya pande mbili, mazungumzo ya Vienna, Ukraine, Syria, Yemen na Afghanistan.
-
Kupasishwa marufuku ya vazi la hijabu katika shule za kusini mwa India
Mar 16, 2022 22:52Mahakama ya Juu ya jimbo la Kusini mwa India la Karnataka imeidhinisha marufuku ya vazi la Hijabu katika shule na vyuo vikuu vya jimbo hilo.
-
Safari ya Johnson Saudi Arabia; mafuta mhimili wa mazungumzo
Mar 16, 2022 03:45Wakati vita vya Russia na Ukraine vikiendelea na bei ya mafuta duniani kuendelea kupanda pia, Boris Johnson Waziri Mkuu wa Uingereza anaelekea Saudi Arabia kwa ajili ya kujadili suala la kupewa mafuta kwa bei rahisi.