-
Kupitishwa maazimio mawili katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu vita vya Gaza na UNRWA
Dec 13, 2024 11:19Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, limepitisha kwa wingi wa kura maazimio mawili yanayotoa wito wa kusitishwa mara moja vita vya Gaza na pia kuunga mkono shughuli za Shirika la Misaada na Ajira kwa Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA).
-
Mradi wa Wazayuni na Marekani wa kubadilisha jina la mashariki ya Palestina kuwa "Yuda na Samaria" utaishia wapi?
Dec 12, 2024 23:28Kadiri wakati wa kuapishwa rasmi Donald Trump kuwa rais wa Marekani unavyozidi kukaribia, ndivyo mipango na njama za Washington za kuunga mkono sera za kujitanua zaidi utawala ghasibu wa Israel zinavyohiri na kuonekana wazi zaidi.
-
Mgogoro wa kibinadamu Gaza katika kivuli cha kuendelea jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel
Dec 12, 2024 02:46Huku zikikosoa hatua ya utawala wa Kizayuni ya kukwamisha upelekaji misaada ya kibinadamu huko Gaza, taasisi za kimataifa zimeeleza wasiwasi zilionao kutokana na kuendelea kuongezeka mgogoro wa kibinadamu katika Ukanda huo.
-
Hotuba ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kuhusu sababu za kuanguka utawala wa Syria
Dec 11, 2024 23:50Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amehutubia hadhara ya matabaka tofauti ya wananchi akigusia matukio ya hivi sasa ya Syria na eneo la Magharibi mwa Asia kwa ujumla, na kueleza sababu za kuanguka utawala wa Syria pamoja na mikakati ya Iran katika kukabiliana na hali ya sasa.
-
Marekani yakiri kuwa na mkono katika matukio ya sasa nchini Syria
Dec 11, 2024 04:02Kufuatia matukio ya sasa, ya haraka na ya ghafla ya kijeshi nchini Syria na kutekwa Damascus na makundi yenye silaha na hatimaye kuondoka madarakani Rais wa Syria Bashar al-Assad, Marekani imekiri kwamba imekuwa na nafasi katika matukio hayo.
-
Tuhuma mpya za Troika ya Ulaya dhidi ya mpango wa amani wa nyuklia wa Iran
Dec 10, 2024 23:16Troika ya Ulaya (Ujerumani, Ufaransa na Uingereza) ya Jumatatu ya tarehe 9 Disemba ilikariri madai yenye utashi wa kisiasa kuhusu mpango wa amani wa nyuklia wa Iran.
-
Takwa la Trump la kusitishwa mapigano mara moja nchini Ukraine
Dec 09, 2024 23:17Katika ujumbe aliotoa baada ya kukutana na Volodymyr Zelenskiy na Emmanuel Macron, Marais wa Ukraine na Ufaransa mjini Paris, Donald Trump, rais mteule wa Marekani ametoa wito wa kusitishwa mara moja mapigano nchini Ukraine.
-
Stratijia ya kieneo ya Iran, umuhimu wa kuzingatiwa matakwa ya watu wa Syria
Dec 09, 2024 07:07Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inasisitiza juu ya umuhimu wa kuzingatiwa matakwa ya wananchi wa Syria katika mtazamo wake wa kidiplomasia kwa msingi wa matukio yanayojiri hivi sasa katika eneo.
-
Kuongezeka mpasuko ndani ya Umoja wa Ulaya juu ya utekelezaji wa vikwazo vipya dhidi ya Russia
Dec 08, 2024 23:39Hatua za Umoja wa Ulaya (EU) za kujaribu kufikia mwafaka juu ya utekelezaji wa kifurushi cha 15 cha vikwazo dhidi ya Russia zimegonga mwamba kutokana na kura za turufu zilizopigwa na Latvia na Lithuania.
-
Uungaji mkono wa Marekani kwa sera za kujipanua za Wazayuni
Dec 08, 2024 09:03Sambamba na kukaribia wakati wa kushika rasmi madaraka rais mteule wa Marekani Donald Trump, mipango na njama za Washington za kuunga mkono sera za kujipanua za utawala wa Kizayuni wa Israel nazo pia zimeongezeka.