-
Ulimwengu wa Michezo, Jul 29
Jul 29, 2024 03:49Hujambo msikilizaji mpenzi, natumai u mzima wa afya. Kipindi chetu cha leo ni makhsusi kwa ajili ya kuangazia tathmini na dondoo za Michezo ya Olimpiki ya Paris 2024. Mashindano ya mara hii, yanatumika si tu kama jukwaa la kuitetea Palestina, bali pia ni uwanja wa kulaani na kukosoa jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel na waitifaki wake Wamagharibi, dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Maelfu waandamana Washington kupinga ziara ya Netanyahu ; wataka kusitishwa mauaji ya kimbari Ukanda wa Gaza
Jul 24, 2024 23:47Maelfu ya watu wakiwemo Wayahudi wa Kimarekani jana waliandamana katika mji wa Washington wakati Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa utawala wa Israel alipokuwa akihutubua katika kikao cha pamoja cha Bunge la Kongresi ya Marekani.
-
Ulimwengu wa Spoti, Jul 22
Jul 22, 2024 02:08Hujambo mpenzi msikilizaji, na karibu tuangazie baadhi ya matukio makubwa ya spoti yaliyoshuhudiwa katika kona mbalimbali za dunia ndani ya siku saba zilizopita...
-
Jeshi la Israel limeua na kujeruhi makumi ya wakazi wa Khan Yunis kusini mwa Gaza + Video
Jul 13, 2024 08:18Ndege za kivita za jeshi la utawala katili wa Israel limeushambulia mji wa Khan Yunis kusini mwa Ukanda wa Gaza na kuuwa wakazi wa mji huo wasiopungua 71 na kujeruhi wengine 289 hadi hivi sasa.
-
Ulimwengu wa Spoti, Jul 8
Jul 08, 2024 03:52Natumai u mzima wa afya mpenzi msikilizaji, na karibu tuangazie japo kwa mukhtasari baadhi ya matukio makubwa yaliyoshuhudiwa viwanjani ndani ya siku saba zilizopita katika kona mbalimbali za dunia.....
-
Ulimwengu wa Spoti, Julai Mosi
Jul 01, 2024 03:48Natumai u bukheri wa afya msikilizaji mpendwa hapo ulipo. Karibu katika dakika hizi chache za kuangazia kwa ufupi baadhi ya matukio makubwa ya spoti yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita kitaifa na kimataifa.
-
Video na Picha za kombora la hypersonic la Yemen lililopiga meli ya Israel
Jun 27, 2024 02:56Vikosi vya Ulinzi vya Yemen vimesambaza video na picha zinazoonyesha kombora la balestiki la hypersonic la vikosi majeshi ya nchi hiyo lililotumika kupiga meli ya utawala wa Kizayuni katika Bahari Nyekundu au Bahari ya Sham.
-
Ulimwengu wa Spoti, Juni 24
Jun 24, 2024 03:16Natumai u bukheri wa afya msikilizaji mpendwa, na karibu tuangazie japo kwa mukhtasari baadhi ya matukio ya michezo yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita katika kona mbalimbali za dunia.
-
Droni ya Hud-hud ya Hizbullah yazusha kiwewe katika safu za Wazayuni + Picha
Jun 23, 2024 07:24Ingawa vyombo vya habari vya serikali ya utawala wa Kizayuni vinapigana kufa na kupona kuchuja mno habari na kufifiliza athari za droni ya Hodhod ya Hizbullah ndani kabisa ya ardhi za Palestina zilizopachikwa jina bandia la Israel lakini vinashindwa kuficha athari zake kubwa ikiwa ni pamoja na kiwewe kilichowakumba viongozi wa Israel.
-
Ansarullah yasambaza mkanda wa video unaoonesha namna inavyozamisha meli za maadui + Video
Jun 20, 2024 03:38Afisa mmoja wa harakati ya Ansarullah wa Yemen amethibitisha kuwa harakati hiyo imesambaza mkanda wa video unaoonesha operesheni za harakati hiyo dhidi ya meli ya Tutor iliyokaidi marufuku ya kutoelekea kwenye bandari za utawala wa Kizayuni.