-
Serikali ya Ufaransa yazidi kukandamiza raia wake + Video
Dec 02, 2018 04:32Polisi nchini Ufaransa wanaendelea kutumia nguvu kupita kiasi kukandamiza wananchi wanaopinga mfumo wa kibepari.
-
SAUTI, UNICEF laahidi kuwasaidia wanafunzi wa kike waliojifungua pamoja na watoto masikini wamalize masomo yao salama
Nov 29, 2018 09:47Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto UNICEF, limezinduwa mpango mpya wa kazi nchini Burundi ambao utaanza kazi yake mwaka 2019 na kumalizika mwaka 2023.
-
SAUTI, Waziri wa Ulinzi wa Kenya: Mgogoro kuhusu kisiwa cha Migingo unasababishwa na ufahamu finyu, kwani unaweza kutatuliwa kirahisi
Nov 28, 2018 13:15Nchi za Kenya na Uganda zimeshauriwa kukaa pamoja kujadili juu ya njia za kufikia mwafaka wa kidiplomasia katika kumaliza mzozo wa umiliki kisiwa cha Migingo kati yao.
-
Burundi kuwakusanya watoto wa mitaani "chokoraa" + Sauti
Nov 26, 2018 14:39Ulimwengu unaadhimisha siku ya kimataifa ya watoto wa barabarani, huku serikali ya Burundi ikisema inao mpango wa kuwaondoa watoto wa barabarani katika kipindi kisicho zidi miezi mitatu. Wakati huohuo mashirika ya kimataifa yanakadiria kuwepo watoto wa barabarani zaidi ya elf 3 nchini humo. Kwa maelezo kamili tumtegee sikio mwandishi wetu wa Bujumbura, Hamida Issa...
-
Uganda yataka ushirikiano wa kiulinzi majini Afrika Mashariki + Sauti
Nov 26, 2018 14:37Umetolewa wito wa kuwepo ushirikiano baina walinzi wa majini katika nchi za Afrika Mashariki katika masuala ya ulinzi na usalama kufuatia ajali ya boti iliyotokea katika Ziwa Victoria siku ya Jumamosi iliyopita. Mwandishi wetu wa mjini Kampala Kigozi Ismail, ametuandalia ripoti ifuatayo.
-
ACT-Wazalendo yalaani uonevu kwa wavuvi Tanzania, naye Sheikh Ponda alilia katiba mpya
Nov 25, 2018 13:39Chama cha ACT- Wazalendo nchini Tanzania, kimelaani vikali vitendo vya ukiukwaji wa sheria na haki za binadamu vinavyofanywa dhidi ya wavuvi katika operesheni mbalimbali zinazotekelezwa nchini chini ya usimamizi wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi.
-
SAUTI, Kampeni ya kupambana na magonjwa ya Sarati mbalimbali imeshika kasi nchini Uganda ambapo watu wanapimwa bure
Nov 24, 2018 12:03Juhudi za kupambana na ugonjwa wa saratani zimeshika kasi nchini Uganda kutokana na ongezeko la maradhi hayo ndani ya jamii.
-
SAUTI, Ripoti ya Matukio ya Kiislamu kuanzia Hafla za maulidi ya Mtume (saw), malalamiko ya ongezeko la mahari ZNZ na sisitizo la Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
Nov 23, 2018 12:15Ripoti ya Matukio ya Kiislamu inaanzia visiwani Zanzibar ambapo walimu wa madrasa wametakiwa kuwa na mwongozo katika shughuli zao za ufundishaji ili kuifanya kazi yao hiyo kuwa na tija chanya.
-
Burundi yazindua kampeni maalumu ya kupiga vita mihadarati na pombe za kienyeji + Sauti
Nov 22, 2018 14:22Serikali ya Burundi imezindua kampeni ya kupiga vita utengenezaji na utumiaji wa pombe za kienyeji na mihadarati katika jiji la Bujumbura. Wakati kampeni hiyo itakayodumu kwa muda wa siku 60 ikianzishwa, mkuu wa kata ya Kavumu amefutwa kazi hadharani akituhumiwa kushirikiana na wagemaji na wauzaji wa pombe hizo. Mwandishi wetu wa Bujumbura, Hamida Issa ana maelezo zaidi.........
-
SAUTI, Hatimaye Msikiti wa Riyadha kisiwani Lamu, Kenya uliojengwa mwaka 1892, umeorodheshwa kuwa kati ya turathi za kimataifa
Nov 21, 2018 13:36Msikiti wa Riadha umekuwa msikiti wa kwanza nchini Kenya kutambuliwa kimataifa kama moja ya turathi ya kitaifa kutokana na kuwa na umri mrefu tangu ulipojengwa.