-
Rais Rouhani: Iran ndiye mpinzani mkuu wa silaha za mauaji ya umati na ugaidi + Video
Nov 21, 2018 12:37Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran ndiyo inayoweza kudai kuwa ni mpinzani mkuu wa ugaidi na silaha za kemikali hasa kutokana na kwamba, taifa la Iran ndiye muhanga mkuu zaidi wa ugaidi na mashambulizi ya silaha hizo hatari.
-
SAUTI, Kenya yaamua kuimarisha usalama wa baharini kuzuia uhalifu, uvuvi haramu, magendo ya madawa ya kulevya nk
Nov 20, 2018 13:05Serikali ya Kenya imeamua kujiimarisha kwa kudhibiti mipaka yake ya majini ambayo imekuwa ikitumiwa vibaya na makundi ya wahalifu hususan magendo ya madawa ya kulevya na binaadamu.
-
Hali si shwari, Uganda yamimina wanajeshi wake katika mpaka na DRC + Sauti
Nov 20, 2018 03:18Kufuatia kuzuka mgogoro wa mpakani mwa Uganda na Jamhuri ya Kidemoksaria ya Kongo, serikali ya Uganda imetuma wanajeshi wake wa wengi wa UPDF katika mpaka wa nchi hizo mbili. Kigozi Ismail na maelezo zaidi kutoka Kampala.
-
Jibu la Iran kuhusu madai ya haki za binadamu ya Saudi Arabia
Nov 20, 2018 00:19Abdullah Al Mualami Mwakilishi wa Saudi Arabia katika kikao cha hivi karibuni cha Kamati ya Tatu ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu masuala ya haki za binadamu alitoa madai yasiyo na msingi dhidi ya Iran.
-
42 wapoteza maisha katika mapigano ya Wakristo na Waislamu CAR + Sauti
Nov 17, 2018 13:03Watu wasiopungua 42 wanaripotiwa kuuawa huko Jamhuri ya Afrika ya Kati, kufuatia mapigano kati ya makundi hasimu ya Wakristo na Waislamu.
-
Waislamu wahimizwa kusherehekea kwa amani na mapenzi Maulidi ya Mtume + Sauti
Nov 16, 2018 03:20Mkurugenzi wa Kitengo cha Utamaduni cha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Tanzania Bw. Ali Bagheri amesema kuwa, maadhimisho ya Maulidi na kuzaliwa Mtume Muhammad SAW kunaleta mapenzi kwa Waislamu wote, hivyo waitumie fursa hiyo kuimarisha udugu wao. Amari Dachi na maelezo zaidi kutoka Dar es Salaam
-
Waislamu Kenya walalamikia kutengwa na Idara ya Uhamiaji + Sauti
Nov 16, 2018 02:57Viongozi wa Kiislamu nchini Kenya wameilalamikia Idara ya Uhamiaji ya nchi hiyo kuwa ingali inafanya ubaguzi katika utoaji huduma. Seifullah Murtadha na maelezo kamili...
-
Halmashauri ya Viwango Zanzibar yahimiza kuboreshwa bidhaa + Sauti
Nov 16, 2018 02:51Taasisi ya Viwango Zanzibar imesisitizia udharura wa kuboreshwa bidhaa zinazozalishwa na zinazoingia visiwani humo ili kuwaepusha Wazanzibari na taathira mbaya za bidhaa zisizotimiza viwango. Harith Subeit na maelezo zaidi kutoka Zanzibar.
-
Bunge la Burundi laitisha kikao cha dharura kutathmini sheria + Sauti
Nov 16, 2018 02:39Bunge la Burundi lilikutana jana Alkhamisi, Novemba 15, 2018 katika kikao cha dharura cha kutathmini sheria ya kuimarisha ushirikiano wa kiusalama katika Jumuiya ya Afrika Mashariki. Hamida Issa na maelezo zaidi kutoka Bujumbura.
-
Ripoti: Maelfu ya wasichana wa Burundi wapotezwa Saudi Arabia + Sauti
Nov 13, 2018 05:53Kuna ripoti zinazosema kuwa wanawake na wasichana 4,500 raia wa Burundi wamepelekwa Saudi Arabia na Oman tangu mwaka 2015 katika kile kinachodaiwa na watetezi wa haki za binadamu kuwa ni biashara ya binadamu. Serikali ya Burundi imeitisha mkutano maalumu kujadili suala hilo. Hamida Issa na maelezo zaidi kutoka Bujumbura...