-
Iran na Iraq zasaini makubaliano muhimu ya usalama wa mpaka kufuatia mazungumzo ya ngazi ya juu
Aug 12, 2025 04:15Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Iraq zimetia saini Hati ya Maelewano ili kuimarisha usalama kwenye mpaka wao wa pamoja.
-
Iran yaulaani utawala wa kizayuni wa Israel kwa mauaji ya halaiki ya wanahabari Ghaza
Aug 11, 2025 23:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Abbas Araghchi amelaani mauaji ya waandishi wa habari watano wa Al Jazeera yaliyofanywa katika shambulio la anga la jeshi la utawala wa kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Ghaza, na kuielezea jinai hiyo kama ushahidi wa kutapatapa utawala unaoshutumiwa kwa hasira duniani kote na unaozidi kuporomoka.
-
Iran: Haki ya kimsingi ya kujilinda iliyonayo Lebanon inaifanya ihitaji kuwa na uwezo wa kijeshi
Aug 11, 2025 07:52Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kwamba, kuwa na uwezo wa kijeshi ni muhimu kutokana na haki ya kimsingi ya kujilinda iliyonayo Lebanon.
-
Araqchi: Afisa wa IAEA Tehran, lakini hakuna mpango wa kukaguliwa maeneo ya nyuklia
Aug 11, 2025 05:37Abbas Araqchi Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) anatarajiwa kufanya ziara hapa Tehran kwa mazungumzo, lakini kutembelea taasisi za nyuklia si sehemu ya ajenda ya safari hiyo.
-
Iran yazindua kliniki 9 kote nchini za kutibu majeraha kwa kutumia plasma
Aug 11, 2025 05:35Mohammad Eslami, Makamu wa Rais na Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI) ametangaza kuzinduliwa kliniki tisa maalumu kote nchini zinazotumia plasma kutibu majeraha.
-
Rais wa Iran: Tunakaribisha ustawishaji mahusiano ya kujenga na nchi zote duniani
Aug 10, 2025 23:44Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, taifa hili linakaribisha mahusiano na ushirikiano na mataifa yote ya dunia.
-
Rais Pezeshkian: Utawala wa Kizayuni na washirika wake hawana dini, utu wala uhuru
Aug 10, 2025 07:09Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, utawala wa Kizayuni na waungaji mkono wake hawana dini, hawana utu wala uhuru, na wanafanya jinai hiyo hiyo dhidi ya watoto madhulumu wa Gaza.
-
Velayati: Ikiwa na Russia au bila ya Russia, Iran itaukwamisha ushoroba wa Marekani eneo la Qafqaz
Aug 09, 2025 23:48Ali Akbar Velayati, Mshauri mwandamizi wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itapinga kuanzishwa ushoroba wa usafirishaji na wa nishati unaodhibitiwa na Marekani nchini Armenia, jambo ambalo amesema litasababisha hatari kubwa kwa utulivu wa kanda hii.
-
Iran: Mpango wa kuukalia Mji wa Ghaza unaonesha 'dhamira bayana' ya Israel ya kufanya mauaji ya kimbari
Aug 08, 2025 23:50Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema mpango wa utawala wa kizayuni wa Israel wa kuukalia Mji wa Ghaza (Ghaza City) ni kielelezo kingine cha wazi cha "dhamira bayana" ya utawala huo ya kufanya uangamizaji wa kizazi na mauaji ya kimbari huko Ghaza.
-
Pezeshkian: Mwandishi wa habari ni kiongozi wa mstari wa mbele katika kutetea ukweli
Aug 08, 2025 09:45Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesema kuwa, mwandishi wa habari ni kiongozi wa mstari wa mbele katika kutetea ukweli