-
Baqaei: Shambulio dhidi ya kambi ya Al-Udeid ya Marekani isichukuliwe kama hatua dhidi ya Qatar
Jun 25, 2025 06:08Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Hatua ya Iran ya kulenga kambi ya Wamarekani huko Al-Udeid isichukuliwe kwa vyovyote vile kuwa ni hatua dhidi ya serikali rafiki na ndugu ya Qatar."
-
Araqchi: Iran kamwe haitalegeza kamba kwa haki yake ya kurutubisha madini ya urani
Jun 25, 2025 05:37Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhurei ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, kamwe Iran haitalegeza kamba katika haki yake ya kurutubisha madini ya urani.
-
Majasusi watatu wa MOSSAD wanyongwa kwa kupanga njama ya kumuua mtu mashuhuri nchini Iran
Jun 25, 2025 05:34Idara ya Mahakama ya Iran imetangaza habari ya kunyongwa majasusi watatu wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika jela ya Urmia kaskazini magharibi mwa Iran.
-
Jeshi la Sepah: Marekani na Israel zisubiri majibu ya majuto
Jun 22, 2025 11:47Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (SEPAH) limelaani shambulio la Marekani dhidi ya vituo vya nyuklia vya amani vya Iran katika taarifa yake (siku ya Jumapili), na kusisitiza kwamba wale wanaoishambulia Iran wanapaswa kutarajia jibu ambalo litawafanya wajute.
-
Rais wa Iran: Hatukuanzisha vita sisi, lakini tutatoa jibu kali kwa uvamizi wa Israel
Jun 22, 2025 11:43Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Iran haikuanzisha vita lakini itatoa jibu kali kwa uvamizi wa utawala haramu wa Israel dhidi yake.
-
Araqchi akataa takwa la madola ya Ulaya la kurejea Iran katika meza ya mazungumzo
Jun 22, 2025 11:37Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekataa takwa la madola ya Ulaya la kurejea Iran katika meza ya mazungumzo.
-
Operesheni ya kijeshi ya Iran ya Ahadi ya Kweli-3 yasababisha uharibifu mkubwa Tel Aviv na Haifa
Jun 22, 2025 11:33Wimbi jipya la mashambulio ya makombora ya Iran ya operesheni ya Ahadi ya Kweli-3 limesababisha uharibifu mkubwa katika miji ya Tel Aviv na Haifa.
-
Taarifa ya Iran kuhusu uvamizi wa kijeshi wa Marekani dhidi ya vituo vya amani vya nyuklia vya Iran
Jun 22, 2025 07:17Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran imetoa taarifa ikilaani hujuma na uvamizi wa kijeshi wa Marekani dhidi ya vituo vya nyuklia vya taifa hili vinavyofanya shughuli zake kwa malengo ya amani.
-
Mohammad Eslami: Hatuamini tena wakala wa IAEA na ukaguzi wake
Jun 22, 2025 07:06Mohammad Eslami Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran amesema kuwa, hatuna imani tena na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) na ukaguzi wake, kwa sababu zana zote hizo zimetumika katika kufanya ujasusi kwa maslahi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Spika Qalibaf: Utawala wa Kizayuni umechafua tena mikono yake kwa jinai mpya kwa idhini ya Marekani
Jun 16, 2025 09:03Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amebainisha kuwa, utawala haramu wa umechafua mikono yake michafu kwa jinai mpya kwa idhini ya Marekani na kueleza kuwa, "watu wa Iran, wa kila kabila na mirengo tofauti ya kisiasa, wameungana na kuwa kitu kimoja dhidi ya adui katili, na bila shaka walimwengu watashuhudia adhama ya Iran na Wairani."