-
Rais wa Iran: Ni lazima tuungane dhidi ya uchokozi wa utawala wa kijinai wa Israel
Jun 16, 2025 07:51Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian amesema wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu wanahitaji umoja na mshikamano wakati huu kuliko wakati mwingine wowote ule, na lazima washikane mikono na kusimama kidete kukabiliana na uchokozi wa utawala wa Israel unaofanya mauaji ya kimbari.
-
Israel yashambulia hospitali ya watoto Tehran na kuua shahidi kadhaa
Jun 16, 2025 07:50Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmaeil Baqaei ameulaani vikali utawala haramu wa Israel kwa kuwaua shahidi watoto katika vita vyake vya kichokozi vinavyoendelea dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Iran yamyonga jasusi wa Mossad; msako dhidi ya maajenti wengine unaendelea
Jun 16, 2025 06:25Iran mapema leo imetekeleza hukumu ya kumnyonga Esmail Fekri, jasusi aliyepatikana na hatia ya kushirikiana na shirika la kijasusi la Israel la Mossad.
-
Uhalifu wa Kivita: Jengo la Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran lalengwa katika hujuma ya Israel
Jun 16, 2025 04:17Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imelaani vikali shambulizi la kigaidi la utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya moja ya majengo yake katika mji mkuu, Tehran.
-
Jeshi la Iran lawaonya walowezi Waisraeli: Ondokeni muokoe maisha yenu
Jun 16, 2025 04:12Majeshi ya Iran yametoa onyo kali kwa walowezi Waisraeli walio katika maeneo ya Palestina yanayokaliwa kimabavu (Israel) na kuwataka waondoke mara moja, huku Iran ikijiandaa kutekeleza mashambulizi makubwa yanayotarajiwa kuenea katika ardhi zote zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Iran yagundua na kusambaratisha karakana ya Mossad ya kuunda droni karibu na Tehran
Jun 16, 2025 04:04Maafisa wa usalama wa Iran wamevamia makazi ya ghorofa tatu nje kidogo ya Tehran, ambapo wamegundia kituo cha siri kinachoendeshwa na shirika la kijasusi la Israel, Mossad, kwa ajili ya kuunganisha droni na vilipuzi.
-
Mazungumzo ya simu kati ya Katibu Mkuu wa OIC na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran
Jun 16, 2025 03:56Hussein Ibrahim Taha, Katibu Mkuu wa Shirika la Ushirikiano wa Kiislamu (OIC), katika mazungumzo ya simu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araghchi, amebainisha wasiwasi mkubwa kuhusu mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Iran.
-
Je, kwa nini Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa halikulaani Israel?
Jun 16, 2025 03:51Kikao cha dharura cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kilichofanyika kwa ombi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kufuatia mashambulizi ya kijeshi ya utawala wa Israel dhidi ya Iran, kwa mara nyingine tena kimefichua siasa za kundumakuwili za kimataifa na mapungufu makubwa yaliyoko katika muundo wa Baraza la Usalama.
-
Wimbi jipya la makombora ya Iran lawawafanya walowezi wa Kizayuni kurudi tena mashimoni
Jun 15, 2025 23:47Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) limefanya wimbi jipya la mashambulio ya makombora yakiwa ni mashambulizi ya nane tangu Ijumaa - dhidi ya ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni ikiwa ni sehemu ya "Operesheni ya Ahadi ya Kweli III."
-
Uchokozi wa Israel: Rais wa Iran aitaka Iraq kulinda mipaka na anga yake
Jun 15, 2025 23:46Rais Masoud Pezeshkian amesema vitendo vya uchokozi vya Israel dhidi ya ardhi ya Iran vikipitia anga ya Iraq ni dhihirisho wazi la utawala huo kutojali sheria za kimataifa.