-
Ujumbe wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa Mahujaji wa Beitul Haram mjini Makka
Jun 05, 2025 05:38Katika ujumbe wake kwa Mahujaji wa Beitul Haram katika mji mtakatifu wa Makka, Ayatullah Khamenei Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa: Serikali za Kiislamu zinapaswa kufunga njia zote za kuusaidia utawala wa Kizayuni, na kwamba wananchi nao wanapasa kuziwajibisha serikali zao katika kufikia lengo hilo.
-
Kiongozi Muadhamu katika ujumbe wa Hija: Mataifa ya Kiislamu lazima yakabiliane na jinai za Wazayuni
Jun 05, 2025 03:49Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa ujumbe muhimu kwa mnasaba wa msimu wa Hija ya mwaka huu; ambapo ameitaja Hija kuwa ibada ya kuhajiri kutoka katika maisha ya kimaada na kwenda katika maisha ya tauhidi na kumpwekesha Allah.
-
Pezeshkian: Umoja wa mataifa ya Kiislamu ni wajibu wa kidini na kistratajia
Jun 05, 2025 03:24Rais Masoud Pezeshkian wa Iran, amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu inatazama umoja na mshikamano miongoni mwa mataifa ya Kiislamu kuwa ni wajibu wa kidini na wa kimkakati.
-
Trump na matakwa ya kupindukia kwa Iran: Je, Washington inataka kufikia makubaliano au kutwisha matakwa?
Jun 05, 2025 00:45Rais Donald Trump wa Marekani amekariri matakwa ya kupindukia mipaka ya Washington kuhusu mpango wa amani wa nyuklia wa Iran kwa ajili ya kufikiwa mapatano ya pande mbili.
-
Jeshi la Iran latoa tahadhari: Tuko tayari kukabiliana na "Makosa ya Kimkakati" ya maadui
Jun 04, 2025 22:46Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limesisitiza utayari wake kamili wa kukabiliana na vitendo vyovyote vya uchokozi au makosa ya kimkakati kutoka kwa maadui wa taifa la Iran, kwa wakati wowote na kwa kiwango chochote.
-
Iran yakataa masharti ya Marekani kwenye mazungumzo ya nyuklia
Jun 04, 2025 22:44Iran imesisitiza haitakubali kamwe masharti yoyote ya kusitisha urutubishaji wa urani, ikisema mafanikio yake ya nyuklia ni matokeo ya miaka mingi ya kujitolea, uwekezaji, na kujenga uwezo wa kitaifa.
-
Mamilioni ya Wairani na Waislamu waadhimisha miaka 36 ya kuaga dunia Imam Khomeini
Jun 04, 2025 11:02Mamilioni ya Wairani kutoka kila tabaka la kijamii, pamoja na idadi kubwa ya Waislamu na wapenda uhuru duniani kote, wameadhimisha kumbukumbu ya miaka 36 tangu kuaga dunia kwa mwanzilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Imam Ruhollah Khomeini (Mwenyezi Mungu Amrehemu).
-
Ayatullah Khamenei: Marekani haiwezi kufanya chochote kuhusu mradi wetu wa nyuklia
Jun 04, 2025 03:37Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema urutubishaji wa urani ndio ufunguo wa suala la nyuklia la Iran, akipuuzilia mbali pendekezo la Marekani kwa Tehran la kusimamisha kikamilifu urutubishaji wa madini hayo (ya urani).
-
Pezeshkian: Kutumia mabavu na kulazimisha matakwa si kanuni ya mazungumzo
Jun 03, 2025 23:18Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Iran inakaribisha mazungumzo, lakini msingi wa mazungumzo ya kweli haupaswi kuwa kulazimisha matakwa au kutumia mabavu dhidi ya upande mwingine.
-
Araqchi: Tunaunga mkono umoja wa ardhi ya Lerbanon mkabala wa uvamizi wa Israel
Jun 03, 2025 08:12Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, tunaunga mkono mamlaka ya kujitawala na umoja wa ardhi ya Lebanon.