-
Baqaei: Visiwa vitatu vya Bu Musa, Tomb Kubwa na Tomb Ndogo haviwezi kutenganishika na Iran
Jun 03, 2025 07:44Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran ameyatupilia madai yaliyotolewa katika taarifa ya mwisho ya kikao cha Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Baraza la Ushirikiano wa Ghuba ya Uajemi kuhusu visiwa vitatu vya Bu Musa, Tomb Kubwa na Tomb Ndogo ambavyo ni milki ya Iran.
-
Nini madhumuni ya ripoti hasi ya IAEA kuhusu mpango wa amani wa nyuklia wa Iran?
Jun 03, 2025 07:15Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) hivi karibuni ulitoa ripoti yake na "kuelezea wasiwasi wake mkubwa" kuhusu ongezeko la urani iliyorutubishwa hadi asilimia 60 katika hifadhi ya Iran kati ya Februari na katikati ya Mei na kuelezea ushirikiano wa Tehran na ufuatiliaji wa mpango wake wa nyuklia kuwa uko "chini ya kiwango cha kuridhisha."
-
Iran na Misri zataka kusitishwa vita mara moja Ghaza
Jun 02, 2025 23:51Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, ametoa mwito wa kusitishwa haraka mashambulizi ya utawala wa Kizayuni huko Ghaza na kuruhusiwa misaada ya kibinadamu kuwafikia wananchi wa Ukanda huo.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran akutana na Rais wa Misri jijini Cairo
Jun 02, 2025 08:11Abbas Araqchi, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana leo Jumatatu na Rais Abdel Fattah El-Sisi wa Misri jijini Cairo.
-
Naeem Qassem: Misingi ya Imam Khomeini itaendelea kuwa mwanga wa njia ya mapambano
Jun 02, 2025 07:58Sheikh Naeem Qassem, Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon, amesisitiza kuwa mafundisho ya Uislamu asili wa Mtume Muhammad kupitia misingi ya kimapinduzi ya Imam Ruhullah Khomeini (Mwenyezi Mungu Amrehemu) yataendelea kuwa mwanga unaoongoza harakati za mapambano au Muqawama na vuguvugu za ukombozi katika eneo la Asia na ulimwengu mzima wa Kiislamu.
-
Eslami: Urutubishaji wa madini ya urani ni mstari mwekundu kwa Iran
Jun 02, 2025 07:43Mkuu wa Shirika la Nguvu za Atomiki la Iran (AEOI), Mohammad Eslami, amesema kwa msisitizo kuwa urutubishaji wa madini ya urani ni jambo la msingi lisilojadiliwa katika sera za nyuklia za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, akilitaja kuwa ni "mstari mwekundu" kwa taifa.
-
Sera ya vikwazo yakwama, Marekani yasitisha vikwazo vipya dhidi ya Iran
Jun 02, 2025 07:35Serikali ya Marekani imesitisha hatua za kuanzisha vikwazo vipya dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, jambo linaloashiria kufeli licha ya kampeni ya vikwazo ya mashinikizo ya juu kabisa ambayo imekuwa ikiendeshwa kwa muda mrefu dhidi ya Iran.
-
Waziri Araghchi yupo Misri kujadili Gaza, uhusiano wa Tehran-Cairo
Jun 02, 2025 03:16Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araqchi yuko katika mji mkuu wa Misri, Cairo, kwa ajili ya kufanya mazungumzo na maafisa wakuu wa nchi hiyo, juu ya uhusiano wa Jamhuri ya Kiislamu na Misri pamoja na maendeleo katika eneo la Asia Magharibi, yakiwemo mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza.
-
Jeshi la Anga la Iran liko imara kuilinda nchi kwa nguvu zote
Jun 01, 2025 23:28Kamanda wa Jeshi la Anga la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIAF), Brigedia Jenerali Hamid Vahedi amesema kuwa, jeshi hilo liko imara na limejiandaa kikamilifu kulinda anga ya Jamhuri ya Kiislamu kwa hali yoyote ile.
-
Iran yatumia teknolojia ya nyuklia kuzalisha mpunga wakati wa ukame
Jun 01, 2025 06:40Uzalishaji wa mpunga aina ya "Kian" ni mafanikio mapya ya matumizi ya amani ya teknolojia ya nyuklia nchini Iran. Mpunga huo unastahamili ukame usio na kifani na hilo ni suluhisho la kisayansi la kukabiliana na tatizo la maji katika mashamba ya mpunga.