-
Timu ya Iran yapata medali sita katika Mashindano ya 66 ya Kimataifa ya Hisabati
Jul 19, 2025 23:00Timu ya taifa ya hisabati ya Iran imeshinda medali sita katika Mashindano ya 66 ya Kimataifa ya Hisabati (IMO) yaliyofanyika Australia.
-
Rais wa Iran: Umoja na mshikamano ni suala la dharura kwa umma wa Kiislamu
Jul 19, 2025 11:07Rais Masoud Pezeshkian wa Iran ametoa wito wa umoja na mshikamano zaidi nchini Iran na katika ulimwengu mzima wa Kiislamu ambao unakabiliwa na vitisho vya usalama vya pamoja vya maadui.
-
Araghchi: Iran ‘imejiandaa kikamilifu’ iwapo Israel itavunja usitishaji vita ‘dhaifu’
Jul 19, 2025 10:55Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi amesema Jamhuri ya Kiislamu iko macho na iko tayari kujilinda iwapo utawala wa Israel utavunja usitishaji vita "tete" uliohitimisha siku 12 za uchokozi wa utawala huo wa Kizayuni dhidi ya nchi hii mwezi uliopita.
-
Wizara ya Ulinzi ya US yanakili droni ya kamikaze ya Iran
Jul 19, 2025 10:32Marekani imenakili na kuzindua toleo lake la ndege ya kivita isiyo na rubani ya Iran ya Shahed-136, katika juhudi za kupanua machaguo ya droni za bei nafuu kwa ajili ya kuzitumia kwneye medani za kisasa za vita.
-
Baqaei: Iran inaunga mkono uhuru, mamlaka ya kujitawala Syria
Jul 18, 2025 12:42Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu inaunga mkono uhuru na mamlaka ya kitaifa ya kujitawala Syria.
-
Meja Jenerali Mousavi: Shambulio lolote tarajiwa dhidi Iran litakabiliwa kwa nguvu zaidi
Jul 18, 2025 11:30Kamanda Mkuu wa Majeshi la Iran, Meja Jenerali Abdolrahim Mousavi ameonya kwamba, uchokozi wowote tarajiwa wa maadui utakabiliwa na jibu baya na kali zaidi.
-
Iran yaitaka EU iachane na sera zake chovu za vitisho, mashinikizo
Jul 18, 2025 11:17Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi ametoa wito kwa Umoja wa Ulaya, na hasa Troika ya Ulaya E3 (Ufaransa, Ujerumani, na Uingereza) kuachana na "sera zao zilizochoka" za vitisho na mashinikizo.
-
Dakta Zarif: Tishio pekee kwa utawala wa Israel ni amani
Jul 18, 2025 10:32Aliyekuwa Makamu wa Rais wa Masuala ya Kistratejia wa Iran, Mohammad-Javad Zarif amesema kuwa, tishio pekee lililopo kwa utawala wa Kizayuni wa Israel ni amani.
-
UNESCO yailaani Israel kwa mauaji ya wanahabari wa Iran
Jul 18, 2025 09:58Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) limelaani mauaji ya wafanyakazi wawili wa vyombo vya habari wa Iran wakati wa mashambulizi ya anga ya Israel kwenye makao makuu ya Shirika la Utangazaji la Iran, IRIB mjini Tehran mwezi uliopita.
-
Intelijensia: US inajifanya inataka kuzungumza na Iran wakati inajiandaa kwa vita
Jul 18, 2025 01:39Afisa mmoja mwandamizi wa kisiasa wa Iran ameiambia Press TV kuwa Jamhuri ya Kiislamu haitaingia kwenye mazungumzo mapya na Marekani kwa kutumia mfumo au ajenda ya hapo awali, baada ya funzo ililopata kutokana na mazungumzo ya hapo kabla.