-
Brigedia Jenerali Reza Sadeghi: US imetumia dola trilioni tisa Asia Magharibi bila mafanikio yoyote
Nov 24, 2024 07:05Mshauri mwandamizii wa Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema: Wamarekani hawajapata mafanikio licha ya kutumia dola trilioni tisa katika eneo la Magharibi mwa Asia.
-
Spika Qalibaf: Uwekaji wa mashinepewa za kisasa ni jibu kwa ufanyaji mambo kisiasa wa IAEA
Nov 24, 2024 06:35Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran amesema, kuanza kutumiwa mashinepewa (centrifuges) mpya na za kisasa ni jibu la Jamhuri ya Kiislamu kwa hatua ya baadhi ya nchi ya kuitumia kisiasa Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA).
-
Iran: Tunakaribisha hatua zozote za kuondolewa kinga utawala wa Kizayuni
Nov 24, 2024 03:57Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu inakaribisha hatua yoyote ya kuuondolea kinga utawala wa Kizayuni na kuiwajibisha Israel kwa jinai zake za kivita na mauaji ya kizazi huko Palestina.
-
Kiongozi: Wahusika wote wa genge la magaidi wa Kizayuni lazima washtakiwe
Nov 24, 2024 01:08Ayatullah Seyyed Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amehimiza kufunguliwa mashtaka maafisa wote wa kisiasa na kijeshi wa utawala wa kigaidi wa Israel kutokana na ukatili wao.
-
Kijiji cha Esfahak nchini Iran ni mojawapo ya Vijiji Bora vya Utalii duniani mwaka huu wa 2024
Nov 23, 2024 08:16Kijiji cha kihistoria cha Esfahak, kilicho katika mkoa wa Khorasan Kusini mwa Iran, kimetambuliwa kimataifa kwa kutajwa na Shirika la Utalii la Umoja wa Mataifa kuwa mojawapo ya Vijiji Bora vya Utalii mwaka 2024.
-
Iran: Mashtaka ya ICC dhidi ya Netanyahu yalipaswa kujumuisha 'mauaji ya kimbari'
Nov 23, 2024 07:58Iran imesema mashitaka ya Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) dhidi ya waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na waziri wake wa zamani wa vita Yoav Gallant pia yalipaswa kujumuisha "mauaji ya kimbari" ya utawala huo ghasibu.
-
Balozi wa Iran UN: Tuhuma za Marekani na Uingereza hazina msingi wowote
Nov 23, 2024 03:51Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amekanusha tuhuma dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu zilizotolewa na Marekani na Uingereza za eti kuvuruga amani katika eneo la Asia Magharibi na kuhusika na mapigano yanayoendelea Ukraine; akisisitiza kuwa tuhuma zote hizo hazina msingi wowote.
-
Kamalvandi: Iran imeongeza uwezo wa kurutubisha urani ya nyuklia
Nov 22, 2024 23:52Behrouz Kamalvandi, msemaji na mkuu wa masuala ya kimataifa na kisheria katika Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran amezungumzia azimio haribifu la Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) dhidi ya Iran na kusema: Tumeongeza kwa kiasi kikubwa uwezo wa kurutubisha madini ya urani.
-
Rais Pezeshkian atoa salamu za rambirambi kwa Pakistan kutokana na shambulio la kigaidi
Nov 22, 2024 23:42Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, ametuma salamu za rambirambi kufuatia shambulizi la kigaidi lililotokea kaskazini magharibi mwa Pakistan.
-
Radiamali ya Iran kwa azimio la nchi tatu za Ulaya kwa Bodi ya IAEA
Nov 22, 2024 09:11Nchi tatu za Ulaya zimewasilisha mswada wa azimio kwa Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) ambapo zimeituhumu Iran kuwa haiweki wazi shughuli zake za nyuklia.