-
Rais Pezeshkian: Iran inapigania usalama na amani duniani
Nov 15, 2024 04:19Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kwamba ulimwengu unaelewa kuwa Iran inafuatilia amani na usalama duniani kote na kwamba, mpango wake wa nyuklia ni wa malengo ya amani.
-
Iran na Angola zalaani jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel
Nov 15, 2024 04:18Balozi mpya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Angola na rais wa nchi hiyo wamelaani vitendo vya jinai vya utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza na Lebanon.
-
Araghchi: Iran haitafanya mazungumzo chini ya mashinikizo
Nov 15, 2024 00:27Abbas Araqchi Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa Tehran iko tayari kuketi katika meza ya mazungumzo ya nyuklia na Troika ya Umoja wa Ulaya kulingana na maslahi na haki za Iran na si chini ya mashinikizo na vitisho.
-
Msisitizo wa kupanuliwa ushirikiano wa vyombo vya habari kati ya Iran na Sudan
Nov 15, 2024 00:25Imesisitizwa katika kikao cha balozi wa Sudan nchini Iran na Mkuu wa kitengo cha matangazo ya nje cha Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB) nia ya dhati ya nchi hizo mbili ya kuendeleza ushirikiano wa vyombo vya habari.
-
Safari ya Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki nchini Iran
Nov 14, 2024 08:44Rafael Grossi, Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA aliwasili mjini Tehran Jumanne jioni ambapo amekutana na kuzungumza na viongozi husika wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Islami: Ushirikiano wa Iran na IAEA unaendelea katika fremu ya NPT na haki za kimataifa
Nov 14, 2024 07:42Mkuu wa Taasisi ya Nishati ya Atomiki ya Iran amesema kuwa, ushirikiano wa Iran na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) unaendelea katika fremu ya mkataba wa Kuzuia Utengenezaji na Usambazaji wa Silaha za nyuklia NPT na haki za kimataifa.
-
Iran yaionya Marekani kuhusu kukariri siasa zilizofeli za mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa
Nov 14, 2024 06:04Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameionya Marekani dhidi ya kuanzisha tena kampeni yake ya "mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa" dhidi ya Tehran na kusisitiza kwamba, majaribio ya hapo awali ya Washington ya kuishinikiza Iran yalishindwa na kugonga mwamba.
-
Iran yalaani mpango wa kibaguzi na kitanuzi wa Israel wa kunyakua Ukingo wa Magharibi
Nov 14, 2024 01:11Iran imelaani vikali wito wa waziri mmoja wa utawala haramu wa Israel wa kunyakua kikamilifu eneo la Palestina la Ukingo wa Magharibi ambalo hivi sasa linakaliwa kwa mabavu na utawala huo.
-
Magaidi 11 wenye mfungamano na Israel waangamizwa na kutiwa nguvuni mashariki ya Iran
Nov 13, 2024 08:35Msemaji wa mazoezi ya kijeshi ya "Mashahidi wa Usalama" katika Kamandi ya Quds ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ametangaza magaidi saba wameangamizwa na wengine saba wametiwa mbaroni kwa kuhusika na hujuma za kigaidi mkoani Sistan na Baluchistan, kusini mashariki mwa Iran.
-
Kuimarishwa uhusiano wa kiusalama kati ya Iran na Pakistan
Nov 13, 2024 04:17Sayyid Abbas Araghchi, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, amesema kuwa katika safari yake ya hivi karibuni nchini Pakistan, ameshauriana na viongozi wa kijeshi na kisiasa wa nchi hiyo kuhusiana na namna ya kukabiliana na ugaidi, ambayo ni changamoto kubwa zaidi katika eneo.