-
Taifa la Iran halitalegeza kamba mbele ya vitisho vya mabeberu
Mar 14, 2025 11:29Imamu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema: "Taifa la Iran limethibitisha kuwa litasimama kidete kukabiliana na ubeberu na vitisho vya viongozi wa Marekani na halitalegeza kamba katika kutetea heshima na misimamo yake."
-
China na Russia zahimiza kuhitimishwa 'vikwazo haramu' dhidi ya Iran
Mar 14, 2025 11:17Wanadiplomasia wa China na Russia wametoa wito wa kuondolewa "vikwazo visivyo halali" dhidi ya Iran, wakisisitiza kuwa Tehran inayo haki ya kutumia nishati ya nyuklia kwa malengo ya amani.
-
Balozi: Mkutano wa Baraza la Usalama la UN Kuhusu Iran ni ‘Mbinu Mbaya ya Kisiasa'
Mar 14, 2025 03:23Balozi wa Iran katika Umoja wa Mataifa amelaani mkutano wa Baraza la Usalama kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran, akiuita "mbinu mbaya ya kisiasa " inayotumiwa vibaya na chombo hicho cha kimataifa ili "kutimiza ajenda finyu".
-
Iran yachunguza barua ya Rais wa Marekani
Mar 13, 2025 23:16Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa baada ya tathmini na uchunguzi kamili wa barua ya Rais wa Marekani kwa Iran, uamuzi utachukuliwa kuhusu jinsi ya kujibu barua hiyo.
-
Faili la nyuklia la Iran: Tehran yawaita mabalozi wa UK, Ufaransa, Ujerumani
Mar 13, 2025 23:01Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imewaita mabalozi wa Uingereza, Ufaransa na Ujerumani kuhusu jaribio lao la pamoja na Marekani katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, dhidi ya mradi wa nyuklia wa Iran wenye malengo ya amani.
-
Iran inafuatilia malengo gani katika kupanua uhusiano na nchi za Afrika?
Mar 13, 2025 22:58Kikao cha kubadilishana mawazo cha Mkutano wa Tatu wa Ushirikiano wa Kiuchumi wa Iran na Afrika kimefanyika mjini Tehran, kwa uratibu wa Shirika la Maendeleo ya Biashara, kikihudhuriwa na mabalozi na wawakilishi wa nchi za Afrika.
-
Masharti ya Iran kwa ajili ya kufanya mazungumzo na nchi za Magharibi
Mar 13, 2025 07:17Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa mara nyingine tena imekataa mazungumzo yoyote ya kulazimishwa na kusisitiza kuwa haitafanya mazungumzo kwa shinikizo na vitisho.
-
Muirani afutwa kazi Marekani kwa kuwa AI imesema anaunga mkono Palestina
Mar 13, 2025 06:58Chuo Kikuu cha Yale cha nchini Marekani kimemsimamisha kazi mhadhiri wa Kiirani kwa tuhuma zilizotegemea ripoti ya Akili Mnemba (Artificial Inteligence) ambayo imesema kuwa msomi huyo Muirani analiunga mkono taifa madhlumu la Palesitna hasa kutokana na kukosoa vikali mauaji ya kimbari yaliyofanywa na Israeli wakati wa vita vya Ghaza.
-
Iran: Kumetolewa wazo jipya la kutatua masuala ya nyuklia na IAEA
Mar 13, 2025 06:28Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ametangaza kuwa, Tehran inalichunguza wazo jipya la kutatua masuala ya nyuklia ya Iran kati ya Tehran na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA.
-
Madai dhidi ya Iran ya Mjumbe wa Marekani UN kuhusu miradi ya nyuklia ya Tehran
Mar 13, 2025 03:56Katika matamshi yake dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Mjumbe wa Marekani katika Umoja wa Mataifa amesema: Washington inaendelea kutekeleza kikamilifu sera za mashinikizo ya kiwango cha juu dhidi ya Iran.