-
Kamanda: Majeshi ya Iran yako tayari kukabiliana na hujuma yoyote
Jan 05, 2025 00:08Kamanda wa Vikosi vya Nchi Kavu vya Jeshi la Iran amesisitiza kuwa Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu litakabiliana na hujuma yoyote dhidi ya ardhi ya nchi.
-
Rais wa Iran kufanya safari nchini Tajikistan
Jan 05, 2025 00:07Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hivi karibuni anatarajiwa kufanya safari ya kikazi nchini Tajikistan.
-
Jeshi la IRGC la Iran laanza mazoezi makubwa kuimarisha utayari wa kivita
Jan 04, 2025 10:05Kikosi cha nchi kavu cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) limeanzisha mazoezi makubwa na maalum katika jimbo la Kermanshah magharibi mwa Iran, kama sehemu ya juhudi za kuongeza utayari wao wa kivita na kujiandaa zaidi kukabiliana na vitisho vya usalama dhidi ya nchi.
-
Iran yaongeza uuzaji mafuta ghafi
Jan 04, 2025 09:09Mauzo ya nje ya mafuta ghafi kutoka Iran yalipanda tena katika nusu ya pili ya Desemba, baada ya kuanza polepole katikati ya mwezi huo.
-
Araqchi: Tupo tayari kwa mazungumzo yenye tija kuhusu mpango wetu wa nyuklia
Jan 04, 2025 04:00Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Tehran iko tayari kufanya mazungumzo yenye tija na bila ya kuchelewa kuhusu mpango wake wa nyuklia.
-
Iran yalaani vikali shambulizi linalohusishwa na Daesh nchini Marekani
Jan 03, 2025 23:28Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imelaani vikali shambulio la kigaidi lililotokea nchini Marekani na kusababisha vifo vya watu 15.
-
Iran imeweza vipi kuwa na nafasi ya juu katika nyanja za afya ya wanawake wajawazito?
Jan 03, 2025 10:49Moja ya masuala muhimu ambayo yameonekana katika miongo miwili iliyopita ni nafasi ya juu ya mfumo wa afya wa Iran kati ya nchi za kanda ya Asia Magharibi na dunia kwa ujumla.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa asisitiza ushindi wa mhimili wa muqawama dhidi ya maadui
Jan 03, 2025 08:38Khatibu wa Sala ya Ijumaa katika mji wa Tehran amesisitiza kuwa mhimili wa Muqawama utaibuka na ushindi mbele ya maadui.
-
Rais Pezeshkian: Tutaendeleza njia ya Shahidi Soleimani kwa nguvu
Jan 03, 2025 00:16Rais Massoud Pezeshkian amesema kwamba Jamhuri ya Kiislamu itaendelea na njia iliyoanzishwa na kamanda shujaa wa kupambana na ugaidi, Shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, kwa nguvu zake zote.
-
Meja Jenerali Salami: Adui anaporomoka; Muqawama utaibuka na ushindi
Jan 03, 2025 00:14Kamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesisitiza kuwa, vita vya kisaikolojia vya adui Mzayuni ni ishara ya mwisho wake, na Muqawama utaibuka na ushindi.