-
Iran yalaani shambulio la Israel dhidi ya skuli ya UN Gaza
Sep 12, 2024 23:35Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani shambulizi la anga la Israel dhidi ya shule nyingine iliyogeuzwa makazi na wakimbizi katika Ukanda wa Gaza, na kusababisha vifo vya watu wasiopungua 18, wakiwemo wafanyakazi sita wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA).
-
Radiamali ya Iran kwa vikwazo vya nchi za Ulaya dhidi ya Shirika la Ndege la Iran Air
Sep 12, 2024 23:00Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran ameichukulia kauli ya Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza, Ufaransa na Ujerumani kuhusiana na kufutwa makubaliano ya pande mbili ya kutoa huduma za anga kwa Iran kuwa ni ugaidi wa kiuchumi wa nchi za Magharibi dhidi ya taifa la Iran.
-
Kuongezeka mauzo ya bidhaa za Iran nchini Iraq
Sep 12, 2024 08:04Shirika la Maendeleo ya Biashara la Iran limetangaza kuwepo ongezeko kubwa la mauzo ya Iran nchini Iraq katika miezi ya karibuni.
-
Iran yaazimia kuimarisha uhusiano na Burkina Faso
Sep 12, 2024 07:37Balozi wa Iran nchini Burkina Faso, Mojtaba Faqihi amekutana na Abubakar Nakanabo, Waziri wa Uchumi na Fedha wa taifa hilo la Afrika Magharibi na kujadili umuhimu wa kupanua ushirikiano wa pande mbili katika nyuga za kiuchumi, kiufundi na kibiashara.
-
Iran: Marekani na Uingereza ndio wachochezi wakuu wa vita duniani
Sep 12, 2024 07:36Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema Marekani na Uingereza ndio wachochezi wakuu wa moja kwa moja na wasio wa moja kwa moja wa kila vita vinavyotokea katika pembe yoyote duniani.
-
Rais wa Iran awasili eneo la Kurdistan la Iraq katika siku ya pili ya ziara yake nchini humo
Sep 12, 2024 04:11Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewasili katika eneo la Kurdistan la Iraq katika siku ya pili ya ziara yake ya kuitembelea nchi hiyo.
-
Rais wa Iran na Waziri Mkuu wa Iraq wafanya mkutano na waandishi wa habari Baghdad
Sep 11, 2024 23:41Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza katika mkutano na waandishi wa habari akiwa pamoja na mwenyeji wake Waziri Mkuu wa Iraq: "tunapaswa kutekeleza makubaliano ya ushirikiano wa kiusalama kati ya Iran na Iraq ili kukabiliana na magaidi na maadui".
-
Ujumbe wa shukurani wa Kiongozi Muadhamu kwa ukarimu wa taifa na serikali ya Iraq katika Arubaini ya Imamu Hussein (as)
Sep 11, 2024 09:34Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa shukurani zake kwa wenye mawkib na taifa kubwa la Iraq katika kipindi cha kumbukumbu ya Arubaini ya Imam Hussein (as).
-
Marais wa Iran na Iraq wakutana Baghdad na kusisitiza kuimarisha uhusiano
Sep 11, 2024 09:03Marais wa Iran na Iraq wamesisitiza juu ya kupanuliwa ushirikiano wa pande mbili katika nyanja mbalimbali za kiuchumi, kisiasa na kiutamaduni na juhudi za pamoja za kuhimiza uthabiti katika eneo hili.
-
Kamanda wa IRGC: Israel kupokea majibu 'ya kuumiza' kwa mashambulizi dhidi ya Syria
Sep 11, 2024 08:55Kamanda wa ngazi za juu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) ameuonya utawala wa Kizayuni wa Israel kwamba utapokea "majibu ya kuumiza" kutokana na mashambulizi yake ya anga dhidi ya vituo na majengo mengi ya kijeshi katika mkoa wa kati wa Hama nchini Syria.