mpya kabisa
  • Kongo: Mkurugenzi Mkuu wa WHO atahadharisha kuhusu mlipuko wa Ebola

    Kongo: Mkurugenzi Mkuu wa WHO atahadharisha kuhusu mlipuko wa Ebola

    Aug 13, 2026 03:39

    Baada ya kurejea kutoka ziarani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) ametahadharisha kuhusu mlipuko wa Ebola.

  • Mwezi 28 Safar, Siku aliyotawafu Bwana Mtume Muhammad SAW

    Mwezi 28 Safar, Siku aliyotawafu Bwana Mtume Muhammad SAW

    Aug 12, 2026 13:24

    Assalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh wapenzi wasikilizaji. Mwezi 28 Safar, unasadifiana na kumbukumbu ya kut'awafu, yaani kuaga dunia Mtume wa Mwenyezi Mungu, Nabii Muhammad Al-Mustafa, rehma za Allah na amani Yake ziwe juu yake na Aali zake. Na kwa mujibu wa baadhi ya Hadithi, siku hiyo pia inasadifiana na kumbukumbu ya kufa shahidi mjukuu wake mpenzi, Imam Hassan al-Mujtaba AS.

  • Rezaei: Mlango-Bahari wa Hormuz utafunguliwa ikiwa tu US itayakubali masharti ya Iran

    Rezaei: Mlango-Bahari wa Hormuz utafunguliwa ikiwa tu US itayakubali masharti ya Iran

    Aug 12, 2026 12:33

    Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema, kufunguliwa tena kikamilifu Mlango-Bahari wa Hormuz katika Ghuba ya Uajemi, ambao umewekewa vizuizi vya uvukaji na Iran tangu mwanzoni mwa mwezi Machi kutokana na uchokozi wa kijeshi wa Marekani na utawala wa kizayuni wa Israel kutafanyika pale tu Marekani itakapoyakubali masharti ya Iran.

  • UN: Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu na Israel umeshafikia “hatua ya kusambaratika”

    UN: Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu na Israel umeshafikia “hatua ya kusambaratika”

    Aug 12, 2026 12:02

    Mratibu wa juhudi za Umoja wa Mataifa za mchakato wa amani Mashariki ya Kati, Ramiz Alakbarov, amesema Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu na Israel umefikia “hatua ya kusambaratika”, huku ongezeko la vitendo vya ukatili na mabavu vya walowezi wa Israel, upanuzi wa vitongoji haramu na ufurushwaji wa jamii za Wapalestina vikiibadilisha kwa kasi sura ya eneo hilo.

  • Duru za kuaminika: Saudia imepinga Misri kuingizwa kwenye Makubaliano ya Makka

    Duru za kuaminika: Saudia imepinga Misri kuingizwa kwenye Makubaliano ya Makka

    Aug 12, 2026 11:55

    Saudi Arabia ilipinga Misri kujiunga na Mkataba wa Pamoja wa Ulinzi wa Makka uliosainiwa na Saudia, Uturuki na Pakistan wiki iliyopita, licha ya Ankara kutoa msukumo wa Cairo kujumuishwa kwenye mkataba huo. Hayo yameripotiwa na vyanzo vitatu vya Saudi Arabia vyenye taarifa za majadiliano yaliyofanywa juu ya suala hilo.

  • Watu 95 wafariki dunia Zimbabwe baada ya kivuko kuzama kwenye Ziwa Kariba

    Watu 95 wafariki dunia Zimbabwe baada ya kivuko kuzama kwenye Ziwa Kariba

    Aug 12, 2026 11:49

    Watu 95 wamefariki dunia nchini Zimbabwe, baada ya kivuko walichokuwa wakisafiria kuzama kwenye Ziwa Kariba.

  • Muislamu aliyeshinda kuwania Useneta Michigan atumiwa jumbe za chuki 3,000 kwa siku

    Muislamu aliyeshinda kuwania Useneta Michigan atumiwa jumbe za chuki 3,000 kwa siku

    Aug 12, 2026 11:42

    Uchunguzi mpya uliofanywa na Kituo cha Utafiti wa Chuki Zilizoratibiwa (CSOH) cha nchini Marekani unaonyesha kuwa jumbe za maandishi zilizomlenga Abdulraham El-Sayed, za hisia za chuki dhidi yake kwa sababu ya Uislamu wake zilifikia wastani wa 3,099 kwa siku katika muda wa wiki moja baada ya ushindi wake, ikilinganishwa na wastani wa watu 155 kila siku katika miezi miwili kabla yake; hilo likiwa ni ongezeko la asilimia 1,895.

  • Sababu na Umuhimu wa Makubaliano ya Makka

    Sababu na Umuhimu wa Makubaliano ya Makka

    Aug 12, 2026 06:39

    Siku ya Ijumaa, Saudi Arabia, Uturuki na Pakistan zilitia saini "Makubaliano ya Makka ya Ulinzi wa Pamoja".

  • Wanajeshi wa Marekani wauana ndani ya manuari ya kivita ya USS Abraham Lincoln

    Wanajeshi wa Marekani wauana ndani ya manuari ya kivita ya USS Abraham Lincoln

    Aug 12, 2026 03:38

    Wanajeshi saba wa Jeshi la Wanamaji la Marekani wameripotiwa kuuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa katika mapigano makali ndani ya meli ya USS Abraham Lincoln, huku machafuko yanayoongezeka miongoni mwa wafanyakazi wa meli hiyo yakiweka wazi mashinikizo makubwa ndani ya jeshi la Marekani kutokana na majukumu ya muda mrefu ya kivita.