-
Mwanadiplomasia wa kizayuni: Baadhi ya Wademocrat wanaipendelea Iran kuliko serikali ya Marekani
Aug 12, 2026 03:36Mwanadiplomasia mmoja mwandamizi wa utawala wa kizayuni wa Israel amesema, ametiwa wasiwasi mkubwa na alichokiita "mabadiliko ya mwelekeo" katika sera ya Marekani, akisisitiza kwamba Tel Aviv inajiandaa kwa zama za kupunguza utegemezi kwa Washington na kujitegemea zaidi, ikiwa ni pamoja na "kuanzisha muungano na nchi zingine."
-
Chuki dhidi ya Uislamu zaongezeka Ujerumani, matukio 231 yarekodiwa katika nusu ya mwaka
Aug 12, 2026 03:33Mamlaka za Ujerumani zimerekodi makosa 231 ya jinai yaliyofanywa dhidi ya Waislamu wa nchi hiyo katika nusu ya kwanza ya mwaka huu wa 2026.
-
Mtawala wa Dubai 'azongwa' kwenye mitaa ya London kwa kuhusika UAE katika vita vya Sudan
Aug 12, 2026 03:31Mtawala wa Dubai ambaye ni waziri mkuu wa Muungano wa Falme za Kiarabu, UAE amezongwa kwa maneno katika mitaa ya katikati mwa mji mkuu wa Uingereza, London kuhusiana na ushiriki wa nchi yake katika vita vya ndani nchini Sudan.
-
Afisa wa Yemen: Hatujawahi katu kufunga milango ya mazungumzo na Saudia
Aug 12, 2026 03:24Mkuu wa ujumbe wa Yemen katika mazungumzo ya amani amesema, Sana'a haijawahi kufunga milango ya mazungumzo na Saudi Arabia, bali Saudia ndiyo inayokataa suala hilo.
-
Kwa nini Marekani imeshindwa na Iran
Aug 11, 2026 11:38Hujambo mpenzi msikiilizaji. Je, matukio nyeti katika kanda ya Asia ya Magharibi yanaweza kueleweka vyema zaidi kwa mtazamo wa mwanadiplomasia wa Kijapani? Katika kipindi hiki, tunatupia jicho kitabu kilichopewa jina "Why America Was Defeated by Iran" (Kwa Nini Marekani Imeshindwa na Iran) kilichoandikwa na Mitsugu Saito, balozi wa zamani wa Japan nchini Iran.
-
Qalibaf awapongeza makamanda wa ngazi ya juu kwa uteuzi wao katika majeshi ya Iran
Aug 11, 2026 11:27Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Baqer Qalibaf, amewapongeza makamanda na maafisa kadhaa wa ngazi ya juu wa jeshi walioteuliwa kushika nyadhifa muhimu za kijeshi.
-
Araqchi: Iran ilifanikiwa katika nyanja zote mbili, yaani vita na diplomasia dhidi ya uchokozi wa Marekani na Israel
Aug 11, 2026 11:25Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araqchi ameeleza kuwa Tehran imepata ushindi katika nyanja zote mbili za kijeshi na kidiplomasia katika uchokozi wa hivi karibuni wa Marekani na Israel katika vita vya siku 12 na kusisitiza kuwa muqawama wa Iran uliwalazimisha maadui kuomba kufanya mazungumzo.
-
Alipoaga Dunia
Aug 11, 2026 11:23Tunafungua kipindi chetu kwa Hadithi maarufu ya Bwana Mtume (saw) ambayo madhumuni yake yamepokewa katika Hadithi nyingi zilizoandikwa na wanazuoni wa madhehebu mbalimbali za Kiislamu.
-
Wachimba migodi haramu wasiopungua 14 wamepoteza maisha mgodini Afrika Kusini
Aug 11, 2026 11:22Polisi ya Afrika Kusini leo imetangaza kuwa wachimbaji wadogo wa madini wasiopungua 14 wamefariki dunia na wengine wengi kujeruhiwa katika mgodi ambao hautumiki nchini humo.
-
Shirika la Taifa la Mafuta la Libya lasema halitaweza kutekeleza mikataba katika kituo cha Zawiya baada ya hujuma ya droni
Aug 11, 2026 11:20Shirika la Taifa la Mafuta la Libya leo Jumanne limetangaza kuwa halitaweza kutekeleza mikataba na kwamba litasimamisha kikamilifu utendaji katika eneo la mafuta la Zawiya, magharibi mwa Libya, kutokana na mashambulizi ya mara kwa mara ya ndege zisizo na rubani kwenye vituo vyake.