-
Ripoti: Trump alibadilisha ndege kwa siri nchini Uturuki kutokana na 'tishio la Iran'
Aug 11, 2026 11:16Vyanzo vya habari vya nchini Marekani vimeripoti kuwa Rais Donald Trump wa nchi hiyo mwezi uliopita alibadilisha kwa siri ndege ya Air Force One na kutumia ndege ndogo ya kijeshi ya Marekani baada ya kuondoka kwenye mkutano wa kilele wa Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (NATO) mjini Ankara, Uturuki, katika operesheni iliyoripotiwa kuchochewa na "tishio la Iran,".
-
Kwa nini ni lazima Marekani iondoke Asia Magharibi?
Aug 11, 2026 07:54Uwepo wa kijeshi wa Marekani katika eneo la Asia Magharibi, ambao kwa miaka mingi umehalalishwa kwa kisingizio cha kudhamini usalama, sasa umekuwa kichocheo cha migogoro, sababu ya kuongezeka gharama, na jambo linaloitumbukiza Washington katika vita vya kuchosha na vya muda mrefu, kuliko wakati mwingine wowote.
-
Mustakabali wa usalama wa eneo: Kwa nini nafasi muhimu ya nchi za kanda ni ya dharura?
Aug 11, 2026 07:25Pembezoni mwa mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje wa nchi za Kiarabu na Kiislamu kwa ajili ya kutetea Quds Tukufu (Jerusalem), uliofanyika mjini Amman, Jordan, Badr Abdelatty, Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri, alisisitiza umuhimu wa kuandaliwa dira ya pamoja ya Kiarabu kwa ajili ya mustakabali wa usalama wa eneo. Alisema kuwa nchi za eneo lazima ziwe katika mstari wa mbele wa kubuni mipango yoyote ya usalama katika siku zijazo.
-
Kwa nini ushawishi wa Kizayuni nchini Marekani hauna tena taathira kama zamani?
Aug 11, 2026 06:16Ushindi wa Abdul El-Sayed katika uchaguzi wa mchujo wa Chama cha Democratic jimboni Michigan umeashiria kushindwa wazi kwa mara ya kwanza kwa fikra inayosema kwamba pesa, ushawishi na kampeni hasi huamua matokeo ya kisiasa ya moja kwa moja nchini Marekani.
-
Kiongozi Muadhamu ateua makamanda wapya katika nyadhifa mbalimbali za jeshi la Iran
Aug 11, 2026 03:24Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amefanya uteuzi mpya katika baadhi ya nyadhifa za juu za kijeshi nchini, huku akimteua Brigedia Jenerali Ahmad Vahidi kuwa Kamanda mpya wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC).
-
Iran: Mkataba wa Saudi Arabia, Uturuki na Pakistan unaonyesha kuongezeka hali ya kutoaminika ahadi za usalama za Marekani
Aug 11, 2026 03:22Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran anasema makubaliano ya ulinzi yaliyosainiwa hivi karibuni kati ya Saudi Arabia, Pakistani na Uturuki yanaonyesha mtazamo wa mataifa ya kikanda kuhusu "udanganyifu" wa Marekani linapokuja suala la usalama.
-
Jarida la Wall Street: Vita na Iran vimefichua udhaifu wa jeshi la Marekani
Aug 11, 2026 03:03Jarida la The Wall Street Journal, katika uchambuzi, limeeleza wasiwasi wake kuhusu kufichuka mapungufu na udhaifu wa jeshi la Marekani katika vita na Iran.
-
Kiwango cha mimba zinazoharibika Gaza chaongezeka mara tatu katika nusu ya kwanza ya 2026
Aug 11, 2026 03:02Kiwango cha mimba kuharibika huko Gaza kimeongezeka zaidi ya mara tatu katika nusu ya kwanza ya 2026 huku wanawake wajawazito wakisumbuliwa na utapiamlo, kuhama makazi yao mara kwa mara, joto kali na kuendelea kuporomoka mfumo wa afya wa Ukanda huo.
-
Muungano wa Sahel na Nigeria: Mgogoro wa kauli na malumbano ya kidiplomasia
Aug 11, 2026 03:01Wikendi iliyopita, Waziri wa Mambo ya Nje wa Burkina Faso, Karamoko Jean Marie Traore, alimwita balozi wa Nigeria huko Ouagadougou kupinga kauli za Rais wa Nigeria, Bola Ahmad Tinubu, kuhusu athari za hali ya usalama katika nchi za Muungano wa Sahel kwa nchi yake, mbele ya mabalozi wa Mali na Nigeria.
-
Baghaei: Utawala wa Kizayuni wa Israel ni tishio kubwa zaidi kwa usalama wa kikanda
Aug 10, 2026 11:54Esmaeil Baghaei msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel ni tishio kubwa zaidi kwa utulivu, usalama na ushirikiano miongoni mwa nchi za eneo la Asia Magharibi.