-
Jarida la Wall Street: Vita na Iran vimefichua udhaifu wa jeshi la Marekani
Aug 11, 2026 03:03Jarida la The Wall Street Journal, katika uchambuzi, limeeleza wasiwasi wake kuhusu kufichuka mapungufu na udhaifu wa jeshi la Marekani katika vita na Iran.
-
Kiwango cha mimba zinazoharibika Gaza chaongezeka mara tatu katika nusu ya kwanza ya 2026
Aug 11, 2026 03:02Kiwango cha mimba kuharibika huko Gaza kimeongezeka zaidi ya mara tatu katika nusu ya kwanza ya 2026 huku wanawake wajawazito wakisumbuliwa na utapiamlo, kuhama makazi yao mara kwa mara, joto kali na kuendelea kuporomoka mfumo wa afya wa Ukanda huo.
-
Muungano wa Sahel na Nigeria: Mgogoro wa kauli na malumbano ya kidiplomasia
Aug 11, 2026 03:01Wikendi iliyopita, Waziri wa Mambo ya Nje wa Burkina Faso, Karamoko Jean Marie Traore, alimwita balozi wa Nigeria huko Ouagadougou kupinga kauli za Rais wa Nigeria, Bola Ahmad Tinubu, kuhusu athari za hali ya usalama katika nchi za Muungano wa Sahel kwa nchi yake, mbele ya mabalozi wa Mali na Nigeria.
-
Baghaei: Utawala wa Kizayuni wa Israel ni tishio kubwa zaidi kwa usalama wa kikanda
Aug 10, 2026 11:54Esmaeil Baghaei msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel ni tishio kubwa zaidi kwa utulivu, usalama na ushirikiano miongoni mwa nchi za eneo la Asia Magharibi.
-
Seneta wa Marekani: Vita vimeifanya Iran kuwa imara zaidi, Marekani imedhoofika
Aug 10, 2026 11:36Seneta mmoja wa Marekani, amekiri wazi kushindwa serikali ya Donald Trump katika vita dhidi ya Iran, na kubainisha kwamba, vita hivyo vimesababisha Marekani kudhoofika na Iran kuwa na nguvu zaidi.
-
Karibu Wapalestina 8,000 wamekatwa viungo katika vita vya Israel dhidi ya Gaza
Aug 10, 2026 11:17Wapalestina wapatao 8,000 wamekatwa viungo katika eneo la Ukanda wa Gaza tangu utawala wa kizayuni wa Israel ulipoanzisha vita vya kinyama Oktoba 2023 ambavyo vimeendelea kwa Zaidi ya miaka miwili.
-
Uchaguzi wa urais nchini Zambia kufanyika wiki hii
Aug 10, 2026 11:00Raia wa Zambia waliotimiza masharti ya kupiga kura, Alkhamisi ya wiki hii wataelekea katika vituo vya kupigia kura katika uchaguzi wa rais unaofuatiliwa kwa karibu na ambao utakuwa kipimo cha mafanikio ya kiuchumi ya Rais wa sasa Hakainde Hichilema anayewania kuchaguliwa kwa muhula mwingine.
-
Francesca Albanese: Mauaji ya kimbari na Apartheid vimekuwa sera rasmi ya utawala wa Israel
Aug 10, 2026 10:51Ripota Maalum wa Umoja wa Mataifa katika maeneo ya Palestina yanayokaliwa kwa mabavu Francesca Albanese amesema kuwa, mauaji ya kimbari na mfumo wa ubaguzi wa rangi (apartheid) vimegeuzwa kuwa mradi wa kiserikali wa utawala wa Israel.
-
Ufichuzi kuhusu kisingizio bandia kilichotumiwa na Trump kuishambulia Iran
Aug 10, 2026 04:54Joe Kent, afisa wa zamani katika utawala wa Trump, amekiri kuwa madai kuhusu Iran kutengeneza silaha za nyuklia ni mbinu ya kipropaganda tu iliyotumika kwa ajili ya kuanzisha mashambulizi ya kijeshi dhidi ya Iran.
-
Rais Pezeshkian akutana na Kiongozi Muadhamu anapoanza mwaka wake wa tatu madarakani
Aug 10, 2026 03:20Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Masoud Pezeshkian, amekutana na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei, ikiwa ni mwanzo wa mwaka wake wa tatu tangu aingie madarakani.