-
Araghchi amwandikia barua Katibu Mkuu wa UN kuhusiana na machafuko na jinai zilizofanywa na magaidi mamluki nchini Iran
Jan 15, 2026 06:58Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemwandikia barua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusiana na jinai zilizofanywa na magaidi mamluki katika machafuko na uvurugaji wa amani uliofanywa hivi karibuni hapa nchini.
-
Kamati ya Wateknokrati wa kuendesha Ghaza kukutana kwa kikao cha kwanza mjini Cairo, Misri
Jan 15, 2026 06:58Mipango inaendelea kupangwa kuhakikisha wajumbe wa kamati ya wateknokrati iliyoteuliwa kuendesha masuala ya Ghaza kusafiri hadi Misri kwa mkutano wake wa kwanza, uliotarajiwa kufanyika leo Alkhamisi au kesho Ijumaa. Hayo ni kwa mujibu wa chanzo kimoja cha habari cha Palestina.
-
Russia: Badala ya Ulaya kuzungumzia hali ya Iran ifuatilie kuiokoa Greenland
Jan 15, 2026 06:57Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia, Maria Zakharova amesema, badala ya viongozi wa Umoja wa Ulaya, EU kutoa matamshi ya kuzungumzia hali ya Iran, ingekuwa bora kama wanegejikita kushughulikia kadhia ya Greenland, ambayo sasa hivi Marekani inafanya juu chini kuitia mkononi.
-
Trump amtukana tusi la nguoni mfanyakazi wa Ford kwa kuitwa 'mlindaji wa mharibifu wa watoto'
Jan 15, 2026 06:56Rais wa Marekani Donald Trump ameonekana kwenye mkanda wa video akimtukana tusi la nguoni mfanyakazi mmoja wa kampuni ya magari ya Ford Motor aliyemkosoa kiuchokozi wakati alipotembelea kiwanda kimoja cha kampuni hiyo kilichoko karibu na mji wa Detroit.
-
IRGC yaonya kuhusu majibu makali kwa makosa ya kimahesabu ya Marekani na Israel
Jan 15, 2026 04:17Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) amezionya Marekani, Israel na mamluki wao wenye mienendo ya Daesh kwamba kosa lolote la kimahesabu litakabiliwa na majibu makali na ya kuangamiza.
-
Wabunge wa Uingereza watoa wito wa kufukuzwa Marekani katika mashindano ya Kombe la Dunia 2026
Jan 15, 2026 04:16Wabunge wapatao ishirini wa Bunge la Uingereza wamelitaka Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kuiondoa Marekani katika fainali za Kombe la Dunia 2026, licha ya kuwa mwenyeji mkuu, kwa sababu ya mienendo ya Rais wa Marekani, Donald Trump, na ukiukaji wake wa mamlaka ya nchi huru.
-
Maelfu ya Wanigeria wakimbia makazi yao baada ya kiongozi wa genge la waasi kutishia kuwaua
Jan 15, 2026 04:15Maafisa wa serikali na wakazi wa kaskazini magharibi mwa Nigeria wamesema kwamba maelfu ya watu wamekimbia makazi yao wiki hii baada ya kiongozi wa genge lenye silaha kuwaamuru waondoke kwenye maeneo hayo.
-
Shamkhani: Shambulio la makombora kwenye kambi ya Al-Udeid ni ukumbusho wa azma ya Iran la kujibu mapigo
Jan 15, 2026 03:32Mshauri mkuu wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran ameonya kwamba shambulio la makombora la Juni mwaka jana kwenye Kituo cha Anga cha jeshi la Marekani cha Al-Udeid huko Qatar linapaswa kuwa ukumbusho kwa Rais Donald Trump kuhusu azma na uwezo wa Iran wa kujibu kitendo chochote cha uchokozi.
-
Kenya: Umaskini wasababisha zaidi ya wanafunzi laki 8 kukosa kuripoti shule
Jan 15, 2026 03:31Ripoti kutoka Kenya zinasema umaskini pamoja na hatua ya serikali kudhibiti uteuzi wa shule, umeibuka kuwa sababu kuu inayofanya zaidi ya wanafunzi 800,000 wa Gredi ya 10 kushindwa kuripoti katika shule walizoteuliwa.
-
Haki za binadamu za Kimarekani; Risasi ndani, madai ya haki za binadamu nje ya nchi
Jan 15, 2026 01:41Kufuatia kifo cha raia wa Marekani aliyepigwa risasi na maafisa wa uhamiaji, maandamano yamekuwa yakiendelea katika majimbo mengi ya Marekani.