-
Wananchi wa Uganda wanapiga kura leo, Museveni atarajiwa kuendelea kutawala
Jan 15, 2026 00:42Wananchi wa Uganda waliotimiza masharti ya kupiga kura, leo wanaelekea katika vituo vya kupigia kura kuamua hatiam ya uongozi wa nchi hiyo kwa miaka mingine mitano.
-
Vinara wa mashambulizi ya kigaidi katika ghasia za Iran wakamatwa
Jan 14, 2026 23:10Wizara ya Usalama wa Taifa ya Iran imesema inaendelea kuwatambua na kuwakamata vinara wa mashambulizi ya kigaidi hivi karibuni jijini Tehran kwa ushirikiano madhubuti wa wananchi.
-
Iran yawasilisha malalamiko UN kuhusu matamshi ya Trump ya kuchochea vurugu na vitisho vya kijeshi
Jan 14, 2026 23:10Iran imewasilisha malalamiko rasmi kwa Umoja wa Mataifa kufuatia matamshi ya Rais wa Marekani Donald Trump, ikimkemea kwa kutoa vitisho vya kijeshi na kuwachochea waandamanaji kuteka taasisi za serikali.
-
Indhari ya Hamas kuhusu hali mbaya ya kibinadamu Gaza
Jan 14, 2026 23:08Baada ya kufariki kwa idadi ya watoto wa Kipalestina katika Ukanda wa Gaza kutokana na baridi kali, Harakati ya Kiislamu ya Kupigania Ukombzoi wa Palestina, Hamas, imeonya kuhusu kuzidi kuzorota kwa hali ya kibinadamu katika eneo hilo ambalo liko chini ya mzingiro wa utawala katili wa Israel.
-
Mahakama ya Tunisia yaidhinisha kifungo cha miaka 22 dhidi ya kiongozi wa Ennahda, Ghannouchi
Jan 14, 2026 23:07Mahakama ya rufaa nchini Tunisia siku ya Jumatano imethibitisha kifungo cha miaka 22 jela dhidi ya Rached Ghannouchi, kiongozi wa Harakati ya Ennahda na aliyekuwa Spika wa Bunge, katika kesi maarufu ya Instalingo.
-
Mamilioni wajitokeza katika mazishi ya mashahidi wa mashambulizi ya kigaidi mjini Tehran na miji mingine ya Iran
Jan 14, 2026 09:27Mamilioni ya Iran leo wamejitokeza katika mazishi na shughuli ya kuwaaga mashahidi wa mashambulizi ya kigaidi mjini Tehran na miji mingine ya Iran.
-
Iran yajitosheleza katika kutengeneza dawa za kutibu fibrosisi ya mapafu
Jan 14, 2026 08:36Mkurugenzi wa utafiti na maendeleo wa kampuni inayotegemea maarifa nchini Iran ametangaza uzalishaji wa dawa ya Ofenib kwa mara ya kwanza hapa nchini, ambayo hutumika kwa wagonjwa wenye magonjwa ya mapafu ya ndani, hasa fibrosis ya mapafu.
-
Shirika la UNICEF: Watoto wa Gaza wamesahauliwa na jamii na kimataifa
Jan 14, 2026 08:17Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetangaza kuwa, jamii ya imewasahau watoto wa Gaza ambao wanataabika na kuteteseka kutokana na kukabiliwa na hali mbaya ya kibinadamu na ukatili wa kutisha.
-
Abbas Araghchi: Kauli za uchochezi za Wamarekani ni kuingilia masuala ya ndani ya Iran
Jan 14, 2026 07:47Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza azma ya taifa hili ya kutetea mamlaka yake ya kitaifa dhidi ya uingiliaji wa kigeni.
-
Uganda: Serikali yazima mtandao wa intaneti siku moja kabla ya uchaguzi mkuu
Jan 14, 2026 07:24Serikali ya Uganda imezima mtandao wa intaneti siku moja kabla ya kuelekea uchaguzi mkuu wa hapo kesho, uchaguzi ambao Rais Yoweri Museveni anataka kuchaguliwa kwa muhula wa saba.