-
Kwa nini Pakistan imekosoa msimamo wa Trump kuhusu machafuko nchini Iran?
Jan 14, 2026 03:51Pakistan imekosoa msimamo wa Rais Donald Trump wa Marekani kuhusu machafuko yanayochochewa na nchi za Magharibi nchini Iran.
-
Larijani: Trump ndiye 'muuaji mkubwa zaidi' wa Wairani
Jan 14, 2026 03:16Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran (SNSC) amelaani vitisho vya Rais wa Marekani Donald Trump dhidi ya taifa hili, akimtaja mwanasiasa huyo kama mmoja wa wauaji wakubwa zaidi wa Wairani.
-
Afrika yakosoa hatua ya Trump ya kuiondoa US katika taasisi za kimataifa
Jan 14, 2026 03:15Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU), Mahmoud Ali Youssouf ametoa wito wa kuimarishwa mifumo ya pande nyingi ili kushughulikia changamoto za kimataifa, siku chache baada ya Marekani kuchukua uamuzi wa upande mmoja wa kujiondoa katika taasisi mbalimbali za kimataifa.
-
Wakazi wa Greenland: Hatutaki kuwa Wamarekani
Jan 14, 2026 02:56Akthari ya wakazi wa eneo la Greenland wamesema wanahofia kwamba Rais wa Marekani, Donald Trump atatekeleza kivitendo tishio lake la kulitwaa eneo hilo, wakisisitiza kuwa katu hawataki kuwa raia wa Marekani.
-
Jeshi la Somalia laangamiza magaidi 17 wa al-Shabaab
Jan 14, 2026 02:56Wizara ya Ulinzi wa Somalia imesema kwamba, Jeshi la Kitaifa la nchi hiyo limewaua magaidi 17 wa al-Shabaab katika operesheni ya anga iliiyofanyika kusini mwa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Misri 'yakaribisha' kuwekwa Ikhwani katika orodha ya magaidi ya US
Jan 14, 2026 02:52Serikali ya Misri imepongeza hatua ya Marekani ya kuitambua rasmi Harakati ya Kiislamu ya Ikhwanul Muslimin kuwa ni shirika la kigaidi.
-
Maporomoko ya udongo mashariki mwa Kongo yauwa takriban watu 13
Jan 13, 2026 23:37Takriban watu 13 wamepoteza maisha kufuatia maporomoko ya udongo yaliyotokea mashariki mwa Kongo mapema jana Jumanne. Watu wengien zaidi ya 30 hawajulikani waliko hadi sasa.
-
Qatar: Tunawasiliana ili kutatua tofauti kati ya Marekani na Iran
Jan 13, 2026 23:12Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Qatar ametangaza kuwa, Doha inafanya mawasiliano na pande mbalimbali ili kutuliza hali katika eneo hili na kutatua tofauti kati ya Iran na Marekani.
-
Wanasiasa wa Pakistan: Ulimwengu wa Kiislamu unapaswa kusimama pamoja na Iran
Jan 13, 2026 23:11Wanasiasa mbalimbali wa Pakistan wamesisitiza kuwa, ulimwengu wa Kiislamu unapaswa kuwa upande wa Iran katika mazingira ya sasa ambapo taifa hili la Kiislamu linaandamwa kwa njama mbalimbali.
-
Uganda yaamuru mashirika ya haki kusitisha shughuli zao
Jan 13, 2026 23:10Uganda imeamuru mashirika mawili ya haki kusitisha shughuli zao, siku moja kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu ambao Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binadamu imeutaja kuwa unafanyika katika mazingira ya ukandamizaji na vitisho.