-
Somalia yaitaka Israel kubatilisha mara moja uamuzi wake wa kuitambua Somaliland
Jan 13, 2026 23:10Waziri wa Mambo ya Nje wa Somalia ameitaja hatua ya utawala ghasibu wa Israel ya kulitambua eneo la Somaliland kuwa ni ukiukaji wa wazi wa mamlaka ya nchi yake.
-
Je, tishio la ushuru la Trump ni ishara ya nguvu au kukiri kushindwa?
Jan 13, 2026 23:08Katika matamshi yake mapya ya vitisho, Rais wa Marekani amezililenga nchi zinazofanya biashara na Iran.
-
Ujumbe madhubuti wa tarehe 22 Dei wa taifa la Iran; mwisho wa hadaa na hila za Marekani
Jan 13, 2026 07:46Katika ujumbe wa pongezi aliotoa kwa mnasaba wa kazi kubwa iliyofanywa na taifa kubwa la Iran katika kuandaa mikusanyiko mikubwa ya tarehe 12 Januari, na siku ya kihistoria iliyobuniwa kwa masaba huo, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, taifa la Iran limewadhihirishia maadui ujasiri na utambulisho wake.
-
Araghchi atoa onyo baada ya vitisho vya Trump: Iran iko tayari kwa vita ikiwa Marekani inataka 'kuvijaribu'
Jan 13, 2026 07:01Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Abbas Araghchi ameionya Marekani kwamba, Tehran "iko tayari kwa machaguo yote" baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kutishia kuchukua hatua za kijeshi sambamba na Iran kukabiliwa na machafuko hivi karibuni yaliyochochewa na kuungwa mkono na maadui wa nje ya nchi.
-
China: Tunapinga vitisho vya ushuru vilivyotolewa na Trump dhidi ya washirika wa kibiashara wa Iran
Jan 13, 2026 07:00Serikali ya China imetangaza kuwa inapinga vitisho vya ushuru vilivyotolewa na Rais wa Marekani dhidi ya nchi zinazoshirikiana kibiashara na Iran.
-
Seneta Warner: Serikali ya Trump inachangia kueneza chuki dhidi ya Uislamu na Waarabu ndani ya Marekani
Jan 13, 2026 07:00Seneta wa Marekani Mark Warner amesema, nchi hiyo inakabiliwa na ongezeko la ubaguzi wa kidini na misimamo ya kufurutu mpaka inayochochewa na chuki, akiishutumu serikali ya Trump kwa kuchangia kuongezeka kwa hisia za uenezaji hofu na chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia) na hisia za kupiga vita Waarabu.
-
Wataalamu: Uingiliaji wa kigeni wanaoutaka Wairani ni wa kusaidia kuondolewa vikwazo vya Marekani
Jan 13, 2026 06:59Maandamano yaliyoikumba Iran yamechochewa na mbinyo mkubwa wa kiuchumi; na kutokana na Wairani kuona jinai zilizofanywa na Israel na kile ambacho Marekani imekifanya nchini Venezuela, madai hasa ya wananchi hao si kutaka ufanyike uingiliaji wa kijeshi wa madola wageni dhidi ya nchi yao. Hayo yameelezwa na wataalamu kadhaa wa kikanda.
-
Medvedev 'amdhihaki' Trump: Usipoharakisha, Greenland itapiga kura ya kujiunga na Russia
Jan 13, 2026 06:59Naibu Mwenyekiti wa Baraza la Usalama la Russia Dmitry Medvedev amesema, Wagreenland wanaweza kupiga kura ya maoni ya kujiunga na Russia ikiwa Rais wa Marekani Donald Trump hatachukua hatua haraka kukinyakua kisiwa hicho cha ncha ya kaskazini, Aktiki.
-
Waziri wa Ulinzi wa Iran: Tunayo mengi ya kushangaza yatakayomtia maumivu makubwa adui
Jan 13, 2026 03:43Waziri wa Ulinzi wa Iran, Brigedia Jenerali Aziz Nasirzadeh, amemuonya yeyote anayewatishia watu wa Iran kwa shambulio la kijeshi, akisema kwamba Tehran ina "mastaajabu ya kukabiliana na vitisho hivyo, na washambuliaji watapata maumivu na mateso makubwa kwa mastaajabu hayo."
-
Qalibaf: Taifa la Iran limemzuia adui kufikia malengo yake
Jan 13, 2026 03:43Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kujitokeza tena kwa Wairani uwanjani kumebatilisha uchawi wa uadui wa Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Iran, akisisitiza: "Leo, kiini kikubwa cha Wairani milioni 90, wenye dini, mielelezo ya kisiasa na lahaja tofauti, kimesimama kidete dhidi ya adui wa kigeni, na hii ni hatua muhimu ya mwamko wa Wairani."